kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
- Thread starter
- #21
oven ya umeme na jiko ipi ni nzuri?Majiko kwa ubora:
1. Ariston-bei imesimama, ila ubora, durability na upekee
2. Delta ya pili kwa ubora na bei ni juu ya westpoint, nikai, beko
3. Venus hii ni ya tatu kwa ubora bei ni chini ya delta na iko kidogo juu ya westpoint, nikai, beko na mo electro.
Vitu vingine vya kuangalia ni:
1. Uwezo wako. Kama pesa siyo shida nunua ariston
2. Unataka yenye oven ya gesi au umeme
3. Size ya jiko. 50*50, 50*60, 60*60 au zaidi