Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

oven ya umeme na jiko ipi ni nzuri?
 
oven ya umeme na jiko ipi ni nzuri?
Oven ya umeme na jiko?Sijakuelewa boss.

Cookers kwa juu kuna plates za gesi tu au gesi na umeme au umeme tu. Chini kuna oven ya umeme au ya gesi
 
Nafikiri anamaanisha Oven ya Umeme au Gas ipi nzuri?
Gas oven ni nzuri kwa kuwa inapata joto haraka na inatumia gas kidogo kuoka. Gesi ina madhara kwako na mazingiri ila haitatoboa mfuko wako.

Oven ya umeme ya kisasa ni nzuri kwa kuwa inapata joto haraka na ni nzuri kwa mazingira na kwa afya ya mtumiaji. Ila inakula umeme kama Brevis anavyokula wese kwa hiyo ujishike
 
Hata nyama ukiichoma kwa gas inakua na kaharufu flani ka gas.

I prefer and recommend oven ya umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…