1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zipi hizo mkuuAchana na unnecessary hangouts
hahahah,, mbona sio muongaji kivileAcha kuhonga
Kuschedule appointment na stripper ni unnecessary.zipi hizo mkuu
Punguza unnecessary hangouts
okNunua kibubu.
ok mzee babaAmka saa 12 asubuhi, lala saa 3 usiku. Acha pombe, sigara na uzinzi na mwisho kabisa tafuta mwanamke unaeendana uoe.
ohhh okeyKuschedule appointment na stripper ni unnecessary.
sawa mkuuKusave pesa haijawahi kuwa kazi rahisi mkuu, hata kama mshahara ni mkubwa, utajitahidi kuzitunza lakini zitaisha tu bila hata kutegemea na ukijiuliza cha maana ulichofanyia wakati mwingine hukioni.
Nakushauri kama umeona umeshindwa kabisa fanya haya yafuatayo:
1. Tafuta project ya kufanya halafu kakope pesa benki utakuwa unarejesha polepole kulingana na utaratibu utakowekwa.
2. Nasikia kuna account zinaitwa malengo account kwenye mabenki kadhaa, kaziweke huko kwa muda utakaokuwa umeridhia mwenyewe kulingana na utaratibu wa benki husika.( japo hii siiafiki sana ).
Nimezungumzia kwa wale waajiriwa na pesa yao inakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, kitakachokuwa kimebaki naamini utakitumia kwa nidhamu ya hali ya juu.
Kwa waliojiajiri wenyewe nawashauri waongeze mtaji kutoka kwenye faida wanayopata, kuwa na pesa nyingi zilizotunzwa ni kukaribisha ibilisi hatari sana wa matumizi.
Kwa wale walioweza kutunza pesa kwa muda mrefu niwapongeze sana maana ni kipaji na uvumilivu wa hali ya juu sana.
Kwa sasa ni hayo tu mkuu.
We unataka afungwe, hawezi kutunzapesa, unamshauri akakope benk, hohoooo,ohoooo, watampiga mnada!Kusave pesa haijawahi kuwa kazi rahisi mkuu, hata kama mshahara ni mkubwa, utajitahidi kuzitunza lakini zitaisha tu bila hata kutegemea na ukijiuliza cha maana ulichofanyia wakati mwingine hukioni.
Nakushauri kama umeona umeshindwa kabisa fanya haya yafuatayo:
1. Tafuta project ya kufanya halafu kakope pesa benki utakuwa unarejesha polepole kulingana na utaratibu utakowekwa.
2. Nasikia kuna account zinaitwa malengo account kwenye mabenki kadhaa, kaziweke huko kwa muda utakaokuwa umeridhia mwenyewe kulingana na utaratibu wa benki husika.( japo hii siiafiki sana ).
Nimezungumzia kwa wale waajiriwa na pesa yao inakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, kitakachokuwa kimebaki naamini utakitumia kwa nidhamu ya hali ya juu.
Kwa waliojiajiri wenyewe nawashauri waongeze mtaji kutoka kwenye faida wanayopata, kuwa na pesa nyingi zilizotunzwa ni kukaribisha ibilisi hatari sana wa matumizi.
Kwa wale walioweza kutunza pesa kwa muda mrefu niwapongeze sana maana ni kipaji na uvumilivu wa hali ya juu sana.
Kwa sasa ni hayo tu mkuu.
Hahahahaha mkuu, wanachukua moja kwa moja kutoka kwenye mshahara wake! kabla hata ajatoa zake za matumizi!We unataka afungwe, hawezi kutunzapesa, unamshauri akakope benk, hohoooo,ohoooo, watampiga mnada!