peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Ninaomba atupatie!
Wanachojadili kinahusu Taifa hili.Kawa wewe sio mjumbe link ya nini mkuu?
Leo,Tena muda huuKwani ni leo boss, siyo tarehe 28 jumatatu?
Duuh!Leo,Tena muda huu
Kwahiyo ukiwakisiliza na ukahisi hukubaliani na wanachoongea, utawafanya nini zaidi ya kuja hapa kulialia?Wanachojadili kinahusu Taifa hili.
Na CCM= serikali.
Wakijadili upupu, ukizingatia wote wale ni F4 waliofeli, watatumaliza.
Mjumbe mmoja ni hawara wangu,japo Niko CDM,nitawajulisha.Labda hackers waingie kazin vinginevyo hupati kama ww sio mjumbe
Mjumbe nimechelewa kuungana na wajumbe wenzanguKawa wewe sio mjumbe link ya nini mkuu?
Achana naye, wakati waalimu wanafundisha msemo wa "pilipili ya shamba yawawashia nini" alikuwa anajificha makorongoni kwa utoroWaombe wakina chiembe ChoiceVariable
Mimi na mwomba Lucas Mwashsmbwa,fanya kama unajikuna niipate linkWaombe wakina chiembe ChoiceVariable
Hao ni nguruwe tuu mkuu hamna wajuachoWaombe wakina chiembe ChoiceVariable
Naomba kidogo tu, niko chini ya miguu yakoMimi ninayo ila sikupiiiiiiiiiiiiii