Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

W
Kosa la kiufundi ni ccm kuchagua Rais wa nchi na mwenyekiti wao wa chama Taifa.


Muundo ulitakiwa,Rais asiwe mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa akiwa madarakani
anaogopa yasije kutokea kama yaliyomfikaTabo Mbeki. Mbeki akiwa rais aliondolewa madarakani law ushawishi wa mwenyekiti Zuma na Mwenzake Malema.
 
Back
Top Bottom