Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Mshambwa aje kuweka link hapa, chawa maarufu mitaa hiyo ya Lumumba
Muombe demu wake atakupa bila masharti ila kwa huyo chawa... sahau hupati kitu chief.Mimi na mwomba Lucas Mwashsmbwa,fanya kama unajikuna niipate link
Hivi ni Epheni vile aunachanganya mafaili!Muombe demu wake atakupa bila masharti ila kwa huyo chawa... sahau hupati kitu chief.
Ccm inaweza kufanya mkutano wa ndani na wa mtamdao kwa kuunganisha wajumbe wachache then ukasikia hoja imeungwa mkono kwa 100% tulipofika ccm ni janga kama majanga mengine mazitoLabda hackers waingie kazin vinginevyo hupati kama ww sio mjumbe
Hahahaaaaaa ephen sio demu chief usichanganye mafaili utapigwa hela 😂😂Hivi ni Epheni vile aunachanganya mafaili!
Mjumbe anauliw na pikpik inachomwa postaMjumbe mmoja ni hawara wangu,japo Niko CDM,nitawajulisha.
Hakikisha hupitwi na tukio lolote tuna Iman na ww kachero wetu 🫣Mjumbe mmoja ni hawara wangu,japo Niko CDM,nitawajulisha.
Naomba naombaMimi ninayo ila sikupiiiiiiiiiiiiii
Unaomba akupatie wewe na nani?Ninaomba atupatie!
Cha ajabu hata wakati wa Corona walikusanyika. Now wanaogopa mikusanyikoNinaomba atupatie!
hao ni uchafu tu wa makalio ya fisiem wapo gizaniWaombe wakina chiembe ChoiceVariable
Ni Leo tar 26/7/2025 asubuhiKwani ni leo boss, siyo tarehe 28 jumatatu?
utano umetangazwa na Makala upo mpaka Sasa sijapata taarifa ya kuahirisha inamaana unaendeleaCCM haiwezi kubadili katiba kwa mkutano wa mtandaoni. Hiki chama kina heshima yake bana hatujafikia huko bado.
Mkutano haupo.
Sahihi. Lakini tuambiwe Kikao ni saa ngapi ili tujue kwa ajili ya kuepusha wajumbe wakiwa kwenye Kikao. AsanteKawa wewe sio mjumbe link ya nini mkuu?