GE2025 Mwenye masikio na asikie sasa endeleeni kujidanganya kuwa mtazuia uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu yangu hujui Dunia , kaa kimya , binafsi kazi yangu kuliombea taifa , sina lingine hapa, kwa mara ya kwanza wenda Taifa likapita katika kipindi kigumu kuliko ile vita ya uganda na Tanzania ambapo tz ilipeleka moto wa hatari huko Uganda.


Vijana walikua molali kubwa sana wala hakuna aliejuta kwenda huko kulipgania Taifa lake , mafunzo kwa vijana kabiliana na Amini kwa vijana wazalendo yalikua kwa kasi , huku wakulima , wafugaji , wafanyabiashara wakitoa mali zao , magari yao kufanikisha jambo husika kwamba lazima AMIN kuliacha taifa la Uganda huru.

Ni kipindi hicho vijana mahiri wa Uganda wamejichimbia tz ,wakikomazwa mfano Mseveni.

Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga mkuu
 


This crap must be from disabled brain. Very foolish thread.
 
Sema kama mmejiandaa na muendelezo wa mauaji tu ambayo kimsingi kengez tushayazoea sasa, sio habari mpya, eti rais anaweza kuamuru vyombo vya usalama, hili nani hajui? Na marais wengine walioangushwa hawakua na hivyo vyombo? Madagasca na Nepal marais wake hawakuamuru? Au hawakuwa na hivyo vyombo?

Habari ya vitisho pia inazoeleka sasa, mmeitumia kama silaha kwa muda sasa badilisheni mbinu, muda unafika kenge wataona kufa na kuishi ni kuchange vyumba tu na ndipo akili itawakaa sawa but will be too late chawa
 
Watu wazima hawatishiwi nyau. Subirini muziki mukubwa munene.
Wahuni siku zenu zimekwisha.
 
This crap must be from disabled brain. Very foolish thread.
UFIPA mmesema na kuutangazia ulimwengu kuwa hamtaki kushiriki uchaguzi kwa kuwa mnataka manbo yenu yanayowaaminisha kuwa hayo ndiyo yatafanya msinde uchaguzi. Yaani bila hayo kufanyika hamuwezi kushiriki uchaguzi hata iweje! Watu wakaheshimu msimamno wenu huu na ilikuwa ni matarajio yetu kuwa mmetulia mnangoja siku mabadiliko yafanyike ili mrudi sasa kushiriki uchaguzi.
 
Viongozi wa dini wanakutana na kufanya majukumu yao ya kidini lakini bado hamtaki! Yaani kila kinachofanywa kwa kuwa hakiwapendezi basi nyie mnaleta NONGWA kwelikweli.. Yaani viongozi wa dini wanakuwa wazuri sana na wanakuwa wanafaa sana pale wanapoongelea mambo mnayoyataka kusikia au vipi?

Mbona wakati mwanaharakati wenu Padri Kitima alipotumia kabisa na majengo ya kanisa pale Msimbazi Centre kuwakutanisha Chiba na Mbowe kuwapatanisha wakati wanakwenda kuwenye uchaguzi watu walikaa kimya tu! Mbona Padri Kitima alipomficha John Mnyika kanisani kukwepa kukamatwa na polisi juu ya uhusika wake na kifo cha yule mzee wa Tanga mbona hamkuona ni shida kwa viongozi wa dini kujihusisha na siasa! Au kwenu ni kwamba viongozi wa dini wanakuwa wazuri sana wanapokuwa wanaongelea mambo yanayowafurahisha na kufanana na upinzani?
 
Mkuu unazungumziaje kuhusu utekaji? Ndugu yako akitekwa utafurahi
Hamna anayefurahi walitekwa kina Mo, Ben Sanane wengine waliuliwa kabisa mbona mlikuwa kimya acheni unafiki kwani kutekwa kumeanza leo?

Kwa hiyo baada ya watu kutekwa mnataka kuandamana kumpindua Rais?

Utakuwepo kwenye maandamano?
 
Hivi mnawezaje kuwa wanasiasa na kujipapatua kuwa mna uwezo wa kuongoza nchi kama mnashindwa kuvumilia maoni ya wengine hata kama hayawafurahishi yaani? Ni hatari sana kwa taifa kuwa na vyama au vikundi vya watu kama hiki cha UFIPA ambao hawawezi kabisa kuvumilia mawazo tofauti na ya kwao linapokuja suala la maoni ya wengine. Ni hatari sana na hii ndiyo inayofanya sasa hivi vyama vyenu vionekane kama vikundi vya wanywa mbege na walevi tu!
 
Mo, Ben Sanane wengine waliuliwa kabisa mbona mlikuwa kimya acheni unafiki kwani kutekwa kumeanza leo?
Nani alikaa kimya? Mbona watu walipiga kelele sana hadi kumuita JPM dikteta.
Kwa hiyo baada ya watu kutekwa mnataka kuandamana kumpindua Rais?
Sio kutekwa tu, nchi imejaa ufisadi we hauoni? Utalinganisha na enzi za JPM?
 
Wewe bwana huwa unawatetea wapalestina kwa sababu gani ?
a. Uonevu wa Israel/Unapenda haki
b. Sababu zako za kidini[Uislamu]
Lema na UFIPA mnaumizwa sana na mambo ya viongozi wa dini kule Mwanza kutaka kuwe na amani na kuhimiza watu kwenda kupiga kura. Yaani hili limewakera na kuwakereketa sana! kwa hiyo mlitaka ciongozi wa dini hawa waongee kama alivyoongea Padri Kitima kuhimiza watu wasipige kura?

Yaani watanzania tusimame kidogo hapa na kutafakari. Hivi mtu anayechukia kwa viongozi wa dini kujitokeza na kuhimiza amani wakati wa uchaguzi na kujitokeza watu kwenda kupiga kura kwa mujibu wa katiba yaani hili ni jambo la kuchukiza watu kama Lema? Yaani unachukia kwa viongozi wa dini kutaka kuwe na amani kwenye uchaguzi?
 
Nani alikaa kimya? Mbona watu walipiga kelele sana hadi kumuita JPM dikteta.

Sio kutekwa tu, nchi imejaa ufisadi we hauoni? Utalinganisha na enzi za JPM?
UFIPA ni kama wanahangaika na kila mtu na hawajui sasa wanataka nini kwa kuwa uchaguzi waliosema haup na hautafanyika kwa kuwa wao hawashiriki ndiyo huo sasa umebakiza siku 7 tu kwenda kufanyika na kukamilika kwa kishindo sana.
 
Utakuwepo kwenye maandamano?
Hapana siungi mkono maandamano maana CCM itapata sababu ya kukandamiza upinzani na hata kuvifutia usajili ila busara ni kuwapisha tu wajichague wenyewe ili wasitafute justification.

Siku umaskini ukizidi, ajira zikakosekana, njaa ikatupiga, wote tutaongea lugha moja.
 
Chadema bana hamjaanza kutulia ni kama hamuamini kuwa uchaguzi unakwenda kufanyika bila nyie kuwepo na mnaanza kuvurukutwa kwelikweli moyoni kwa nini uchaguzi unafanyika na ninyi mliaminisha watu kuwa hakuna uchaguzi.
 
UFIPA ni kama wanahangaika na kila mtu na hawajui sasa wanataka nini kwa kuwa uchaguzi waliosema haup na hautafanyika kwa kuwa wao hawashiriki ndiyo huo sasa umebakiza siku 7 tu kwenda kufanyika na kukamilika kwa kishindo sana.
Uchaguzi upi huo? Maana sijaelewa mnashindana na nani wakati CHADEMA na ACT hagombei urais!! Ni kupoteza pesa na muda tu you could as well kumteua tu hiyo pesa ikawekezwe kwenye madawa.
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI MWAKA HUU

Msiseme hamkusikia
 
😅😅😅kwa lugha nyepesi hii ni essay ya mtu ambae anaogopa maandamano yatatokea ingekuwa huogopi wala usingesumbuka ungetulia tu,poleni kwa msiba ujao
 
Hamna anayefurahi walitekwa kina Mo, Ben Sanane wengine waliuliwa kabisa mbona mlikuwa kimya acheni unafiki kwani kutekwa kumeanza leo?

Kwa hiyo baada ya watu kutekwa mnataka kuandamana kumpindua Rais?

Utakuwepo kwenye maandamano?
Unaposema mlikaa kimya una maanisha nini ?

Wewe bwana una utetea a. utekaji ? b. Samia muislam mwenzako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…