Ndugu yangu hujui Dunia , kaa kimya , binafsi kazi yangu kuliombea taifa , sina lingine hapa, kwa mara ya kwanza wenda Taifa likapita katika kipindi kigumu kuliko ile vita ya uganda na Tanzania ambapo tz ilipeleka moto wa hatari huko Uganda.
Vijana walikua molali kubwa sana wala hakuna aliejuta kwenda huko kulipgania Taifa lake , mafunzo kwa vijana kabiliana na Amini kwa vijana wazalendo yalikua kwa kasi , huku wakulima , wafugaji , wafanyabiashara wakitoa mali zao , magari yao kufanikisha jambo husika kwamba lazima AMIN kuliacha taifa la Uganda huru.
Ni kipindi hicho vijana mahiri wa Uganda wamejichimbia tz ,wakikomazwa mfano Mseveni.
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga mkuu