Hujajibu swali langu.Lema na UFIPA mnaumizwa sana na mambo ya viongozi wa dini kule Mwanza kutaka kuwe na amani na kuhimiza watu kwenda kupiga kura. Yaani hili limewakera na kuwakereketa sana! kwa hiyo mlitaka ciongozi wa dini hawa waongee kama alivyoongea Padri Kitima kuhimiza watu wasipige kura?
Yaani watanzania tusimame kidogo hapa na kutafakari. Hivi mtu anayechukia kwa viongozi wa dini kujitokeza na kuhimiza amani wakati wa uchaguzi na kujitokeza watu kwenda kupiga kura kwa mujibu wa katiba yaani hili ni jambo la kuchukiza watu kama Lema? Yaani unachukia kwa viongozi wa dini kutaka kuwe na amani kwenye uchaguzi?
ushatoa wewe inatosha mkuu😂Utoe na trako kbs sio kutik tuu!.
Wanaukumbi.
Sina uhakika kama watu wengi hasa hawa washabiki wa wanaharakati wanaelewa uzito wa maneno haya kutoka kwa rais wa nchi. Sina uhakika kama wanaelewa anapofikia Rais wa nchi kutamka hivi wanaelewa nini kinatakiwa kufuata aunini maana yake kwa vyombo vya usalama vyenye jukumu la kulinda amani na usalama wa nchi hii.
Rais wa nchi yoyote ile ana jukumu la kulinda amani na utulivu wa nchi nyakati zote ndiyo maana Rais anaweza kuamuru vyombo vya usalama likiwemo jeshi kuingia vitani kupambana na nchi nyingine au vikundi ndani ya nchi vyenye kutaka kuleta uvunjifu wa amani na kuvuruga ustawi wa taifa na nchi husika..
Kama hili linaeleweka na nimejaribu kuliweka kwa lugha nyepesi sana ili lieleweke bila mikwaruzo ni wazi sasa huu ujinga mnaodanganyana sijui kuandamana kuvuruga na kuzuia uchaguzi sijui kukomboa nchi ni kitu cha hatari sana mnacheza nacho na mnajidanganya kuwa mtaweza kufanya.
Nimeona mahali eti watu wapige honi sijui wapige masufuria na upumbavu mwingi tu kama ishara ya kupinga sijui serikali na dola. Hivi mmeishiwa mbinu kiasi hiki mpaka sasa mnapiga masufuria na madebe ili kuleta kelele! Hivi mko sawa kiakili kweli au mnajipaga muda kusoma na kujisikiliza vitu mnaandika nyie watu?
Kwa hiyo kupiga masufuria na kupiga honi za magari ndiyo nini? Kwa hiyo kwa akili zenu wafuasi wenu wote wana magari au? Yaani wanapiga honi za magari gani au yapi?
Hizi ni mbinu za kijinga na kioumbavu sana na kama kwa kufanya haya mnadhani eti ndiyo mtakuwa mmefanikiwa kuzia uchaguzi na kupindua serikali basi jihesabieni kuwa ninyi ni watu wa jinga sana kwa kuwa mnawaza mambo ya kijinga na yasiyowezekana.
Tukirudi kwenye kauli ya Amiri Jeshi Mkuu ni kwamba amekula kiapo kuhakikisha nchi hii inakuwa na amani na utulivu sana na ni jukumu lake la msingi kuahakikisha Tanzania inakuwa salama.
kwa hiyo kama kuna mtu au kikundi cha watu hasa hawa wanaharakati kinadhani kina uwezo wa kuzuia uchaguzi na kuangusha serikali na sijui kukomboa nchi basi nawashauri wasikilizi mara kwa mara hii video yaani wasikilize kwa kujirudiarudia halafu mwisho wake wataelewa kitu wanacheza nacho na madhara ya kucheza nacho ni yapi!
WAZAZI wa Tanzania nawasihi sana mkishamaliza kula mkiwa mmekaa na watoto wenu wasikilizisheni watoto wenu hii video clip hata mara 3 hivi mpaka 5 kabla hawajakwenda kulala ili iwakae kichwani na wakiwa wanatembea kila hatua wanayokanyaga iwe inawapa mwangwi wa walichokisikia na kuwakumbusha hatari wanayodanganywa kuwa wanaweza kuifanya kwa kigezo cha kuzuia uchaguzi sijui kuandamana.
Hakuna Rais duniani atakaye kubali kuacha kulinda amani na utulivu wa nchi yake kwa kuwa hivho ndicho kitu aliapa kukilinda kwa nguvu zake zote na maarifa yake yote. Sasa kama kuna mtu anadhani anaweza kwenda mbele na kukinzana na kiapo hiki basi sisi tumetimiza wajibu wetu wa kuwakumbusha na kuwaambia kwa undani sana.
MWISHO ni kuwa aliye na masikio asikie haya mambo! MSIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA AU KUWAKUMBUSHA..
Wewe kenge tu kama wengine. Nchi inaenda badilika mutake musitake. Shwain mkubwa weweNdugu yangu hujui Dunia , kaa kimya , binafsi kazi yangu kuliombea taifa , sina lingine hapa, kwa mara ya kwanza wenda Taifa likapita katika kipindi kigumu kuliko ile vita ya uganda na Tanzania ambapo tz ilipeleka moto wa hatari huko Uganda.
Vijana walikua molali kubwa sana wala hakuna aliejuta kwenda huko kulipgania Taifa lake , mafunzo kwa vijana kabiliana na Amini kwa vijana wazalendo yalikua kwa kasi , huku wakulima , wafugaji , wafanyabiashara wakitoa mali zao , magari yao kufanikisha jambo husika kwamba lazima AMIN kuliacha taifa la Uganda huru.
Ni kipindi hicho vijana mahiri wa Uganda wamejichimbia tz ,wakikomazwa mfano Mseveni.
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga mkuu
Bado upo? You heard?Wanaukumbi.
Sina uhakika kama watu wengi hasa hawa washabiki wa wanaharakati wanaelewa uzito wa maneno haya kutoka kwa rais wa nchi. Sina uhakika kama wanaelewa anapofikia Rais wa nchi kutamka hivi wanaelewa nini kinatakiwa kufuata aunini maana yake kwa vyombo vya usalama vyenye jukumu la kulinda amani na usalama wa nchi hii.
Rais wa nchi yoyote ile ana jukumu la kulinda amani na utulivu wa nchi nyakati zote ndiyo maana Rais anaweza kuamuru vyombo vya usalama likiwemo jeshi kuingia vitani kupambana na nchi nyingine au vikundi ndani ya nchi vyenye kutaka kuleta uvunjifu wa amani na kuvuruga ustawi wa taifa na nchi husika..
Kama hili linaeleweka na nimejaribu kuliweka kwa lugha nyepesi sana ili lieleweke bila mikwaruzo ni wazi sasa huu ujinga mnaodanganyana sijui kuandamana kuvuruga na kuzuia uchaguzi sijui kukomboa nchi ni kitu cha hatari sana mnacheza nacho na mnajidanganya kuwa mtaweza kufanya.
Nimeona mahali eti watu wapige honi sijui wapige masufuria na upumbavu mwingi tu kama ishara ya kupinga sijui serikali na dola. Hivi mmeishiwa mbinu kiasi hiki mpaka sasa mnapiga masufuria na madebe ili kuleta kelele! Hivi mko sawa kiakili kweli au mnajipaga muda kusoma na kujisikiliza vitu mnaandika nyie watu?
Kwa hiyo kupiga masufuria na kupiga honi za magari ndiyo nini? Kwa hiyo kwa akili zenu wafuasi wenu wote wana magari au? Yaani wanapiga honi za magari gani au yapi?
Hizi ni mbinu za kijinga na kioumbavu sana na kama kwa kufanya haya mnadhani eti ndiyo mtakuwa mmefanikiwa kuzia uchaguzi na kupindua serikali basi jihesabieni kuwa ninyi ni watu wa jinga sana kwa kuwa mnawaza mambo ya kijinga na yasiyowezekana.
Tukirudi kwenye kauli ya Amiri Jeshi Mkuu ni kwamba amekula kiapo kuhakikisha nchi hii inakuwa na amani na utulivu sana na ni jukumu lake la msingi kuahakikisha Tanzania inakuwa salama.
kwa hiyo kama kuna mtu au kikundi cha watu hasa hawa wanaharakati kinadhani kina uwezo wa kuzuia uchaguzi na kuangusha serikali na sijui kukomboa nchi basi nawashauri wasikilizi mara kwa mara hii video yaani wasikilize kwa kujirudiarudia halafu mwisho wake wataelewa kitu wanacheza nacho na madhara ya kucheza nacho ni yapi!
WAZAZI wa Tanzania nawasihi sana mkishamaliza kula mkiwa mmekaa na watoto wenu wasikilizisheni watoto wenu hii video clip hata mara 3 hivi mpaka 5 kabla hawajakwenda kulala ili iwakae kichwani na wakiwa wanatembea kila hatua wanayokanyaga iwe inawapa mwangwi wa walichokisikia na kuwakumbusha hatari wanayodanganywa kuwa wanaweza kuifanya kwa kigezo cha kuzuia uchaguzi sijui kuandamana.
Hakuna Rais duniani atakaye kubali kuacha kulinda amani na utulivu wa nchi yake kwa kuwa hivho ndicho kitu aliapa kukilinda kwa nguvu zake zote na maarifa yake yote. Sasa kama kuna mtu anadhani anaweza kwenda mbele na kukinzana na kiapo hiki basi sisi tumetimiza wajibu wetu wa kuwakumbusha na kuwaambia kwa undani sana.
MWISHO ni kuwa aliye na masikio asikie haya mambo! MSIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA AU KUWAKUMBUSHA..
Utakuwepo kwenye maandamano? Au unataandamania kwenu Kimara na Tecno yako chumbani.
Wewe li mnduku hujaona maandamano yalianzia Kimara? KmlmmykUtakuwepo kwenye maandamano? Au unataandamania kwenu Kimara na Tecno yako chumbani.
Na huyu Rais angekuwa ni Mkristo, yeye ndiye angekuwa kinara wa kumkataa, kwani dini yake inamkataa Mwanamke kuwa kiongozi wa nafasi ya juu kabisa!Wewe li mnduku hujaona maandamano yalianzia Kimara? Kmlmmyk

Vipi unamawazo yako mgando?UFIPA KWANI MNATAKA NINI ? HEBU SEMENI BASI TUWASAIDIE!
Pumbavu hilo...limnduku sana na limejaa udini kmlmmykNa huyu Rais angekuwa ni Mkristo, yeye ndiye angekuwa kinara wa kumkataa, kwani dini yake inamkataa Mwanamke kuwa kiongozi wa nafasi ya juu kabisa!
Uko wapi muda huu?? HahahahahahahaUFIPA KWANI MNATAKA NINI ? HEBU SEMENI BASI TUWASAIDIE!