emboaba
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 143
- 117
Wadau uzi huu nauleta kwenu..
Nataka niachane nae huyu mwanamke nilonae nilitoa posa tu ya elf 50, mahari sijatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania magetoni.
Akakaa miezi miwili watu wakanitsha ikabidi nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatika kupata mtoto mmoja ila najilaumu kuzaa nae kawa jeuri kiburi mbishi anajibu majibu ya kikenge hata mbele ya rafiki zangu.
Kwahiyo mnisaidie mbinu za kuachana naye nisije nikamtia kilema bure