Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Nilifanya hichi kitu, mjamaa akaachana na mkewe najutia Sana..

Bora muachane kivyenu. Lkn Ile laana Mungu naamini aliniepushia na anilinde na kosa lile.

Ilikuwa hiv.

Jamaa alikuwa office mate.
Mkewe sikumjua na Wala Mimi hanijui. Ofisi zile ambazo hakuna interaction na familia za watumishi.

Tukiwa bar jamaa akanipa hiyo kazi nikamwambia niachie. Mwambie mpange eneo mnywe soda nitawakuta.

Nikacheki na jamaa tayari walikuwa sehemu flan nikatinga na swagga kibao kuanzia usafiri nk.

Jamaa akajifanya amepata dharula akasepa akaniachia MTU wake mke wake. Tukapiga kinywaji na bahati mby nayeue mnywaji bia mbwa Koko ananafuu.


Siki hiyo nilimrejesha nyumbani. Nikisubiria jamaa anipe feedback kwamba alikuaje, bas akamuwasha vby Sana kwann umelewa.

Scene ya pili.
Jamaa akaniambia Sasa tukamalize kazi. Akanipa namba nikamcheki mkewe, nikampa location, na lodge. Leo inamaana ni siku ya fumanizi na Mtu kuachwa hapohapo.

Tukatinga sehemu jamaa yeye aliaga kwake anasafiri japo alikuwa maeneo hayo na ameshaandaa watu wa kunifumania. Mzee nikala bear na mke wake. Mpaka usiku mwingi.

Baada ya hapo room Dem anaijua, akaenda kulala Mimi nikawa nakula beea bado. Alivyoingia akawa ameenda kuoga, alikuwa na khanga Moja tu kitandani. Kosa kubwa ni kwenda kumla, nilimla na kirudi kula Bea jamaa kufika tu nikamuelekeza chumba akamkamata akamrudisha kwao.

Najutia Sana Sana Sana Ile tukio.
Sikushauri kutumia mbinu.. achacheni kistaarbu.

Mwisho wa hii hhaukuwa mzuri...jamaa alivyooa mke mwingine, akaanza kuumwa kuumwa mwanamke akafaariki. Halikuwa tukio dogo hapo mbeley, zilikuwa laana.

Mjamaa ameachiwa watoto wachanga😭😭😭😭
Ulimla?
 
Back
Top Bottom