Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Humu ndani Kuna majibu mengi ya kukatisha tamaa badala ya Kujenga. Na wasifu wote wanaoshauri kuimarisha huo muunganiko kuliko wanaotoa majibu mepesi ya kuachana.
 
Mkuu siwezi kukushauri umkimbie sababu hapo kuna mtoto na maslahi yake lazima yalindwe. Unajua mtu anakuwa vile wewe upo hasa kitabia. Kama sio mchafu ila ni mkorofi tu huyo ni rahisi kuishi naye.

Fanya jambo moja, badili mfumo wa maisha, kuna mahali mnapishana naye ndio maana anakuwa mkorofi. Ishi kama rastaman kila kitu ni peace and love, atafika mahali atabadilika kabisa.

Ukishindwa kuishi hivyo basi ishi maisha ya kutokumzingatia kabisa hasa anapoleta ukorofi na ubishi, ila usiwe mnyonge wewe puuzia tu. Toa matumizi ila kuwa mpuuzaji wa visa.

Unajua mtu mkorofi au mkaidi akikosa au akiona matukio yake hayakudhuru tena ananywea, ataanza lawama za kutokumjali au kutokumpenda.

Ila katika yote hayo USIWE MNYONGE kamwe. Na asifahamu ratiba zako ila kuwa mstaarabu tu.

Kila la kheri
 
Mwambie tu kiroho safi kwamba nimekushindwa tuachane na matumizi ya mtoto nitakuwa nakupa, akigoma mwachie geto. AU

Mpe safari ya mbali akifika huko mwambie mama ahsante kwa kushiriki geto halipo tena nimeondoka tutawasiliana kwa ajili ya mtoto tu
 
Mkuu siwezi kukushauri umkimbie sababu hapo kuna mtoto na maslahi yake lazima yalindwe. Unajua mtu anakuwa vile wewe upo hasa kitabia. Kama sio mchafu ila ni mkorofi tu huyo ni rahisi kuishi naye.

Fanya jambo moja, badili mfumo wa maisha, kuna mahali mnapishana naye ndio maana anakuwa mkorofi. Ishi kama rastaman kila kitu ni peace and love, atafika mahali atabadilika kabisa.

Ukishindwa kuishi hivyo basi ishi maisha ya kutokumzingatia kabisa hasa anapoleta ukorofi na ubishi, ila usiwe mnyonge wewe puuzia tu. Toa matumizi ila kuwa mpuuzaji wa visa.

Unajua mtu mkorofi au mkaidi akikosa au akiona matukio yake hayakudhuru tena ananywea, ataanza lawama za kutokumjali au kutokumpenda.

Ila katika yote hayo USIWE MNYONGE kamwe. Na asifahamu ratiba zako ila kuwa mstaarabu tu.

Kila la kheri
Hii siikubali kabisa, amani ya moyo ni kila kitu
 
wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton.

Akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeuri kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu.

Kwahiyo mnsaidie mbinu za kuachana naye nisije nikamtia kilema bure
Wewe na mimi same page,alikomalia getho
 
ONGEA NA MDAU MOJA, AWE ANAMTUMIA MESEJI ZA MAPENZI KILA SIKU.
TENGENEZA MAZINGIRA, AWE ANAJIBU HIZO MESEJI
KISHA FANYA UPEKUZI WA SIMU YAKE, MUULIZE HUYU NDIO MPENZI WAKO SIO.
BASI ONDOKA KAISHI NAYE
Shida wanaweza kukupa malware
 
Yaani umechakaza na umembiduabidua binti wa watu, ziwa limening’inia kama pazia ya mama ntilie ndio unataka umuache hapana sio sawa, ongea nae muelekeze sababu ni nini yawezekana wewe ndio sababu ya yeye kubadilika hasa kama ulimpa mwanga wa maisha na baadae ameishia kuona giza ni hatari sana
Mwanamke kislani huzuia maendeleo,kama vipi jaribu kixhunguza
 
Hama hapo muachie gheto ikibidi toroka na mtoto
 
inshort tabia ake iko iv..hata iweje haez kubadlka huyu ndo mana nmeomba mbinu za kuachana nae bila kumuathir mtoto
Mtoto lazma ataathirika kwa kukosa ukaribu wako. Mungu akusaidie maana ni jambo zito sana kukaa mbali na watoto kwa sisi tunaopenda watoto
 
wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton.

Akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeuri kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu.

Kwahiyo mnsaidie mbinu za kuachana naye nisije nikamtia kilema bure
Wanaume tunapendana sana ukiacha kui biana wake ila still tunashirikiana mambo mengi sana,,so inabidi tupeana ushauri ulio bora ,,kifupi Mimi mpka leo naishi na mwanangu bira shida yoyote,Mama mtoto alisepa kitambo sioni shida wala tabu yoyote zaidi ya furaha tu....
 
Back
Top Bottom