scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
point tena yeye hizi ni sababu ndogo kabisaMi naona tumshauri namna nzuri ya kukabiliana na changamoto anayo kutana nayo kwenye ndoa yake. Hakuna ndoa perfect hata moja duniani.
Yakupasa kukubali baadhi ya mapungufu ya mwenza wako na kujaribu kurekebisha Yale yanayozidi kipimo. Kila mtu anarekebishika kwa kiwango fulani cha msingi ni kujua ni kwa namna gani. Usitegemee kupata Malaika na kumbuka mtoto wako atakosa malezi ya wazazi wote wawili na Hilo ni kosa kubwa Sana.