Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

nlmwitia wamama wawil waongee nae akadai atabadlka tumekaa wik mbil tu kaanza tena yale yale
mtu hawezi kubadilika siku moja lazima ichukue mda,kama amerudia unamkumbusha mbona umerudi kulekule?mweleze wewe mwenyewe na umwekee msimamo kwamba kwa tabia hizi mimi na wewe tutashindwana,maybe try this way
Kingine unaweza kumrudisha kwao kwanza ili ajirekebishe ndo umfate kama anaona anahitaji kuolewa,lakini kama ni mtu wa kukaa ndani tu basi ujue hiyo nayo ni changamoto
 
wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton..akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nmtolee posa il kwao wajue nko nae..sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeur kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu..ko mnsaidie mbinu za kuachana nae ncje nkamtia kilema bure
Mwambie UNALIWA JICHO toka mwaka 2015 kipindi cha kampeni, Sasa umepata mwarabu ana wivu balaa Sasa kuanzia April, 2023 anataka muishi wote hapo hapo ghetto
 
Na mwisho mwambie twende wote kusalimu nyumbani,ukifika waambie wazazi nimekuja kumtua nimemshindwa then hama mji
Nyongeza ya hapo. Akimfikisha na kuwakabidhi wazazi huku nyuma awe ameshatafuta geto lingine tena mbali na hapo na awe amemuachia jamaa yake maelezo ili siku anaondoka tu jamaa nyuma anamsaidia kuhamisha vitu kupeleka geto jipya ili anaporudi apitie geto jipya moja kwa moja asirudi kwa zamani.
 
Nilifanya hichi kitu, mjamaa akaachana na mkewe najutia Sana..

Bora muachane kivyenu. Lkn Ile laana Mungu naamini aliniepushia na anilinde na kosa lile.

Ilikuwa hiv.

Jamaa alikuwa office mate.
Mkewe sikumjua na Wala Mimi hanijui. Ofisi zile ambazo hakuna interaction na familia za watumishi.

Tukiwa bar jamaa akanipa hiyo kazi nikamwambia niachie. Mwambie mpange eneo mnywe soda nitawakuta.

Nikacheki na jamaa tayari walikuwa sehemu flan nikatinga na swagga kibao kuanzia usafiri nk.

Jamaa akajifanya amepata dharula akasepa akaniachia MTU wake mke wake. Tukapiga kinywaji na bahati mby nayeue mnywaji bia mbwa Koko ananafuu.


Siki hiyo nilimrejesha nyumbani. Nikisubiria jamaa anipe feedback kwamba alikuaje, bas akamuwasha vby Sana kwann umelewa.

Scene ya pili.
Jamaa akaniambia Sasa tukamalize kazi. Akanipa namba nikamcheki mkewe, nikampa location, na lodge. Leo inamaana ni siku ya fumanizi na Mtu kuachwa hapohapo.

Tukatinga sehemu jamaa yeye aliaga kwake anasafiri japo alikuwa maeneo hayo na ameshaandaa watu wa kunifumania. Mzee nikala bear na mke wake. Mpaka usiku mwingi.

Baada ya hapo room Dem anaijua, akaenda kulala Mimi nikawa nakula beea bado. Alivyoingia akawa ameenda kuoga, alikuwa na khanga Moja tu kitandani. Kosa kubwa ni kwenda kumla, nilimla na kirudi kula Bea jamaa kufika tu nikamuelekeza chumba akamkamata akamrudisha kwao.

Najutia Sana Sana Sana Ile tukio.
Sikushauri kutumia mbinu.. achacheni kistaarbu.

Mwisho wa hii hhaukuwa mzuri...jamaa alivyooa mke mwingine, akaanza kuumwa kuumwa mwanamke akafaariki. Halikuwa tukio dogo hapo mbeley, zilikuwa laana.

Mjamaa ameachiwa watoto wachanga😭😭😭😭
 
Nilifanya hichi kitu, mjamaa akaachana na mkewe najutia Sana..

Bora muachane kivyenu. Lkn Ile laana Mungu naamini aliniepushia na anilinde na kosa lile
Ujute nini,walikushirikisha ukashauri...kwan kuachana kuna ajabu sikuhizi mkuu?
 
wadau uzi huu nauleta kwenu..nataka niachane nae huyu mwanamke nlonae nltoa posa tu ya elf 50,mahari cjatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania mageton..akakaa miez miwil watu wakantsha ikabd nmtolee posa il kwao wajue nko nae..sasa tumebahatk kupata mtoto mmoja ila najlaumu kuzaa nae kawa jeur kburi mbishi anajbu majbu ya kikenge hata mbele ya rafk zangu..ko mnsaidie mbinu za kuachana nae ncje nkamtia kilema bure
Ulivyo mchukua kilaisi mhache kilaisi vilevile
 
Back
Top Bottom