Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

Shida mnapenda kuokotana mchunguze wkaza mtu unakulupuka una zaa nae tu hapo usikumbie familia ila tafuta namna mzuri ya kuongea nae hili muachane vizuri ukikimbia kumbuka kuna damu yako pale
 
Tafuta nauli chukuwa begi lako hamia mikoani huko,Mwache mwenyewe hapo aisome namba.
 
Shida mnapenda kuokotana mchunguze wkaza mtu unakulupuka una zaa nae tu hapo usikumbie familia ila tafuta namna mzuri ya kuongea nae hili muachane vizuri ukikimbia kumbuka kuna damu yako pale
nshaongea nae akakubal condition zote issue akampgia mama ake..mama ake akamwambia avumilue ndoa inahtaj uvumilivu
 
Kwa jinsi ulivyomleta mwenyewe baada ya kumwona anafaa ndo uamue kama hafai au la kwa sasa, ila hapa hakuna jibu... Wengi tupo kwenye hicho kitanzi mzee, tulikuwa tunapooza machungu ya vibuti tukaishia kujaza vibendi ikatupasa kuoa kulea watoto then baadae unakutana na yule haswaaa halafu it's too late... Hapo ni kung'ata jongoo tuu halafu unaamua moja...
 
Back
Top Bottom