Anashangaa kweli; kwa connection nzuri huo mtaji mtu anaingiza M5+Yaani naweka 20mil nipate faida ya 400k kwa mwezi? Weee! Acha bana.
Ohooo ulisema nitulie tuliiii
Mkuu hapo utaridhika mwisho wa mwezi ukikunja ngapi kwa huo mtaji wa 20m?Yaani naweka 20mil nipate faida ya 400k kwa mwezi? Weee! Acha bana.
Ohooo ulisema nitulie tuliiii
Hii umeitoa wapi? Mbona wenye mabenk wanafanya riba na bado they make billions in profits? Hiyo laana wao waiwakuti?Pesa za riba hazina baraka hamna money lender bussiness aliofanikiwa kimaisha wote wanaishia kuendesha vigari vya baby walker hizo pesa zina laana za watu, tena wakina mama tilie mnao watesa kwa kuwaxhukulia vyombo vyao.
Mkuu hapo utaridhika mwisho wa mwezi ukikunja ngapi kwa huo
Angalau nikunje 6% ya mpunga ,hiyo 400k ni asilimia 2% ya 20milMkuu hapo utaridhika mwisho wa mwezi ukikunja ngapi kwa huo mtaji wa 20m?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow. Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika fasta pia tulia tu. Mtaji wa 20M utapata net profit ya 400K kwa mwezi.

Kuna kiharufu nakisikia.
Ungetaja angalau business ideas angalau mbili za kuingiza M5+ kwa M20 hizo ingependeza sana.Anashangaa kweli; kwa connection nzuri huo mtaji mtu anaingiza M5+