funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Hapo bado hawaja-defaultYaani naweka 20mil nipate faida ya 400k kwa mwezi? Weee! Acha bana.
Ohooo ulisema nitulie tuliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bado hawaja-defaultYaani naweka 20mil nipate faida ya 400k kwa mwezi? Weee! Acha bana.
Ohooo ulisema nitulie tuliiii
Kwamba vyombo vimeagiza 3.5% per month unaweza nipa reference? Mfano FINCA wanakopesha kwa 6.3% per month ni hii ni deposit taking microfinance. Achana na hiyo guza MPAWA uone riba wanayokupiga kwa mwezi nadhani ni 19% per month. Nyinyi hiyo 3.5% mnaitolea wapi? Naomba reference.Mkuu Husninyo Kama una kampuni watu wakainvest kwako hiyo 20M ukawapa 2% sio mbaya sana maana max interest inavyoagizwa na vyombo husika ni 3.5%.
Ila ungetafuta partners kabisa na ukawasajili kule brela ili mfanye kwa uhakika na kukuza mtaji ingekua powa zaidi
Biashara ya higher risk level of investment faida 2% kwa mwezi [emoji849][emoji849][emoji849][emoji102]Hellow. Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika fasta pia tulia tu. Mtaji wa 20M utapata net profit ya 400K kwa mwezi.
[emoji135]20Mil for 400k......thts insane
Mkianza kukopesha mtuitage hivo hvo tuje tuwaungishe...[emoji849][emoji849]Hellow. Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika fasta pia tulia tu. Mtaji wa 20M utapata net profit ya 400K kwa mwezi.
Kwa mwaka 24% - biashara nzuri sana hiyo kama hesabu za 2% ziko sawa.Angalau nikunje 6% ya mpunga ,hiyo 400k ni asilimia 2% ya 20mil
Hebu shule tuanzie hapa.Mtaji wangu wa kuuza chips hauzidi 2m na napiga laki 3—4 kwa mwezi. Hiyo yako kali aisee.
Kwa boya kama mimi inahitaji unipe shule ya kutosha kukuelewa aisee.
Kwamba vyombo vimeagiza 3.5% per month unaweza nipa reference? Mfano FINCA wanakopesha kwa 6.3% per month ni hii ni deposit taking microfinance. Achana na hiyo guza MPAWA uone riba wanayokupiga kwa mwezi nadhani ni 19% per month. Nyinyi hiyo 3.5% mnaitolea wapi? Naomba reference.
Usinisute mama ... hebu nielimishe taratibu nielewe.Uko nchi gani wewe
Tena hiyo riba ya mwezi sio kwamba inatakiwa isizidi 3.5% tuu; ila isizidi 3.5% tena reducing
Regulator ndio alishasema
Usinisute mama ... hebu nielimishe taratibu nielewe.
Nitakupa mifano 4 ambayo naamini bank kuu wanairegulate.
1. Finca Microfinance bank
Hawa mkopo wa vikundi riba ni 6.3% per month na mtu binafsi 4.8% (Hii nimesahau kidogo ni 4 point ngapi lakini ni dhaidi ya 4%)
2. Letshego Bank
Hawa riba zinapopungua kadiri unavyochukua fedha nyingi. Lakini mkopo mdogo riba zao ni mpaka 8% kwa mwwezi.
3. Unawajua Bayport mama ... hawa sifahamu riba zao lakini kuna wafanyakazi wengi wamelia kwa riba zao. Mwenye kufahamu
atusaidie lakini naamani si chini ya 5% per month.
4. Wa mwisho angalia mikopo ya simu WA VODA, TIGO NA AIRTEL. Jaribu tu kukopa hata 10000 halafu iniambie kweli riba ni
3.5???
Mimi nimekupa mifano ya microfinance ambazo zinachaji riba zaidi ya 3.5%. Na wako toka mwaka 2019 mpaka leo microfinance regulation act ilipoana kufanya kazi mpaka sasa??
Hebu njoo na hoja usije na misuto mama.
NB: Kabla ya kukujibu nimesoma tena microfinance act lakini sijaona sehemu benk kuu wasema ni 3.5 per month riba
Hizi taasisi zote nilizokutajia wanapeleka report zao za ukaguzi (external audit report) benk kuu kila mwaka si kwamba benki kuu hawajui kwamba wanachaji 6% au 8% per month wanajua na wanaruhusu so these guys are doing legal business. nyie ndio mnakuja na uswahili wenu wa 3.5%.Kesho au jumatatu fuatilia yanayowakuta na kuwasibu viongozi wa baadhi ya hao uliowataja halafu urudi tena
Na uzuri umewasemelea hata ambao hawajafikwa kuchochea spidi ya kuwafikia
Tujifunze kufuata taratibu zilizowekwa na tulizozirdhia hata kama hakuna anayetushurtisha vinginevyo ni vilio na kusaga meno tuu hamna namna
Hizi taasisi zote nilizokutajia wanapeleka report zao za ukaguzi (external audit report) benk kuu kila mwaka si kwamba benki kuu hawajui kwamba wanachaji 6% au 8% per month wanajua na wanaruhusu so these guys are doing legal business. nyie ndio mnakuja na uswahili wenu wa 3.5%.
Nimekupa task ndogo njoo na kielelezo cha Bot cha hiyo 3.5 unademka tu ... policy and regulations ziko public kwenye web ya BOT kwa ajili ya public consumption.