Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

Wakuu,

Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.

Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?

Mbowe ajitafakari sana!

View attachment 3200855
Napenda kukumbusha hapa n Tanzania chafuz zake znakuwaga pasua kichwa kwaiyo tu kama ujui subr mchnd atangazwe umzaniaye kumbe syee ile msemo ndy inatimiaga
 
Makosa makubwa ni kutembea sehemu moja na Lissu kwa wakati huu ambao anang'ang'ania madaraka.

Huu ni wakati wa Lissu, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akashinda.
Vipi umesharudiana na The bold au Jimbo liko wazi nigombee? NB:Waweza nijibu hadharani au PM.
 
Walioshangilia sio wanachadema

USSR
 
Lisu is not settled,

Mbowe naye anahitaji kupumzika,

Chadema inahitaji uongozi mpya, na hakuna ingizo jipya sahihi.

Haya ndio matatizo ya kutokuwapa nafasi vijana na kuwapa mafunzo ili kuchukua nafasi baadae.

Viongozi wetu wabinafsi sana,
 
Back
Top Bottom