K kikokoteo JF-Expert Member Joined May 11, 2024 Posts 615 Reaction score 933 Jan 13, 2025 #61 Mindyou said: Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana! View attachment 3200855 Click to expand... Napenda kukumbusha hapa n Tanzania chafuz zake znakuwaga pasua kichwa kwaiyo tu kama ujui subr mchnd atangazwe umzaniaye kumbe syee ile msemo ndy inatimiaga
Mindyou said: Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana! View attachment 3200855 Click to expand... Napenda kukumbusha hapa n Tanzania chafuz zake znakuwaga pasua kichwa kwaiyo tu kama ujui subr mchnd atangazwe umzaniaye kumbe syee ile msemo ndy inatimiaga
Bhikalamba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 1,916 Reaction score 2,756 Jan 13, 2025 #62 Nifah said: Makosa makubwa ni kutembea sehemu moja na Lissu kwa wakati huu ambao anang'ang'ania madaraka. Huu ni wakati wa Lissu, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akashinda. Click to expand... Vipi umesharudiana na The bold au Jimbo liko wazi nigombee? NB:Waweza nijibu hadharani au PM.
Nifah said: Makosa makubwa ni kutembea sehemu moja na Lissu kwa wakati huu ambao anang'ang'ania madaraka. Huu ni wakati wa Lissu, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akashinda. Click to expand... Vipi umesharudiana na The bold au Jimbo liko wazi nigombee? NB:Waweza nijibu hadharani au PM.
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Jan 13, 2025 #63 Raia Fulani said: Wanapiga kura ya mwenyekiti hao? Click to expand... Kila jambo lina dalili zake za kufanikiwa au kuanguka. Ukiwa na akili timamu utajua kuwa hili ni anguko kuu
Raia Fulani said: Wanapiga kura ya mwenyekiti hao? Click to expand... Kila jambo lina dalili zake za kufanikiwa au kuanguka. Ukiwa na akili timamu utajua kuwa hili ni anguko kuu
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Jan 13, 2025 #64 Walioshangilia sio wanachadema USSR
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 13, 2025 #65 Lisu is not settled, Mbowe naye anahitaji kupumzika, Chadema inahitaji uongozi mpya, na hakuna ingizo jipya sahihi. Haya ndio matatizo ya kutokuwapa nafasi vijana na kuwapa mafunzo ili kuchukua nafasi baadae. Viongozi wetu wabinafsi sana,
Lisu is not settled, Mbowe naye anahitaji kupumzika, Chadema inahitaji uongozi mpya, na hakuna ingizo jipya sahihi. Haya ndio matatizo ya kutokuwapa nafasi vijana na kuwapa mafunzo ili kuchukua nafasi baadae. Viongozi wetu wabinafsi sana,