Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

Hapo shida sio kwamba hana kitu bali sio muwazi hakuwa muwazi tangu mwanzo na hii ipo kote kote uwe na hela au Huna, wanaume wengi wanakuwa sio honest na wa kweli kwenye mambo mengi
 
Hapo shida sio kwamba hana kitu bali sio muwazi hakuwa muwazi tangu mwanzo na hii ipo kote kote uwe na hela au Huna, wanaume wengi wanakuwa sio honest na wa kweli kwenye mambo mengi
ni kweli,,sasa ni heri muongo mwenye manufaa kidogo πŸ˜„πŸ˜„yani unapambania kwenye hamna
 
Zakuambiwa changanya na zako
Binafsi siwezi kufata ushauri wa mtu kwenye swala la ndoa ni issue yangu mm na mwenzi wangu.
 
Mwanamke anakubali kuolewa eti kisa mwanaume ana fedha hali ya kuwa hana hisia za kimapenz na mume wake... Yaani hapo mume atamegewa sana mke wake.
This situation inaondoa usalama wa ndoa
 
Ndoa yangu ni salama, occasionally hua tunazozana, but that normal part of human being.

All in all we are good and love each other insanely.
Tufanye ww umeridhika na hiyo hali ya kuzozana,,je,upande wa pili anapenda hizo pogo?? Na je,akikinai mizozano usalama utakuwepo??
 
Ndio zinatofautiana mkuu wenye ndoa ndio wanaamua iwe salama kwa mambo Fulani Fulani ila sio yote ,silaha kubwa ni kukaa kimya
Mambo Fulani Fulani kama yapi toa CODE hizo tumewachoka motivation speaker
 
Mimi hapa ndoa yangu ipo salama sana ukiona vijana wa skuizi wengi ndoa zao hazipo salama ujue Kuna udanganyifu kati ya mume na mkewe na inapelekea ndoa kuwa ndoano
Vincenzo Jr mkuu umenena ukiwa Umevaa miwani elewa nahau πŸ˜‚
Natania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Turudishe JANDO na UNYAGOπŸ‘
 
Una maana gani kwa kusema ''ndoa salama''? Nauliza kwa sababu kwenye maisha migongano midogo midogo kwa watu waliopo kwenye ndoa ni jambo la kawaida. Au unamaanisha usalama kwenye kuchepuka? Kama ndiyo hilo basi nikuambie kabisa kuwa kuna ndoa salama nyingi sana. Wanaosema hakuna ndoa salama ni wale wachepukaji wanaotafuta sababu za kuchepuka.
 
Wewe ulikubali vipi kuolewa na mtu ambaye bado anawategemea wazazi wake?
πŸ˜†we kuelewa ni ngum aseee kama ukiweza rejea text ya mwanzo palee then uje,,mtu anawategemea wazazi na anafamilia alikotoka(ingawa hakusema),,aliyuuuumba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…