Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

Kama ndoa haina changamoto hiyo sio ndoa

Ni lazima mvurugane kimtindo ili mambo yakae Sawa.
 
Ndoa yangu ni salama, occasionally hua tunazozana, but that normal part of human being.

All in all we are good and love each other insanely.
Iko salama kwasababu hamjajuana kwa undani,na msithubutu kabisa kuanza kuchunguzana na kuchimbuana.
 
Akijitokeza mwenye ndoa salama mnistue npo huku ferry nachagua pweza niwauzie baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…