Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

Mwenye ndoa salama ajitokeze hapa

Nilichojifunza ni kwamba ndoa wala hazifanani. Kila ndoa Ina staili ya utofauti ambao unaweza usifanane na ndoa nyingine. Kunakuwa na vitu vichache sana vya kufanana.

Kuna wengine hata wamfumanie mwenza wake utakuta wanaweza vumilia na kusamehe, lakini kuna wengine wakikuta tu umemtumia mtu mwingine meseji ya ya kimahaba unapata kibuti hapohapo, hakuna No uvumilivu.

Wengine wanaishi kwa kupigana kilasiku. wegine hata ile kuongozana tu kutembea pamoja huwezi kuwaona ili mladi kila ndoa ina staili yake na kunakuwa na tabia za utofauti
Sema kuna aina wa kuvumilana sio aina ya ndoa unafumania mke wako af unaendelea nae hiyo ni ndoa tena au uvumilivu tu. Wengine wanavumilia kwasbb wanakosa plan B.
 
Mkuu omba sana mungu muendelee hivo unaweza kua una timing bomb itapasuka mda wowote miaka 24 sio haba ila bado maisha na binaadamu hubadilika ghafra.
Ni kweli ndiyo mana nimesema si kwa uhodari wangu bali ni taufiki ya Mungu na tunaendelea kuombeana tubaki pamoja mpaka kifo ndicho kitutenganishe, na pia kumbuka matatizo ni sawa na kurasa lakini ndoa ni kitabu, sasa usikifunge kitabu kwa ajili ya kurasa.
 
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.

Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
I am here, my marriage is heaven here on earth
 
Ndoa Salama inajengwa kwa mwanamke mtulivu na sio mwanaume kwasababu madhara ya ndoa kwa mwanamke yanatokea ndani ya ndoa ila ya mwanaume yanatokea nje ya ndoa hvyo mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake.
 
Sidhani kama Kuna ndoa yenye usalama wakati wote, zipo ups and downs ambazo mnatakiwa wote kuwe stable na mmoja aweze kukubali kushuka wakati wa mikwaruzo.
 
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.

Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
Nio hapa mkuu, unataka nisemaje?
 
thadayo Ungefafanua Kwanza maana ya ndoa salama na ndoa isiyo salama Ili Poor Brain anambie mziki gani ulioko kwenye ndoa.
Ndoa salama ni ile ambayo imebebwa na upendo na amani na isio salama ni ile ambayo inasongombingo, dada yangu ukiingia kwenye ndoa ndio utajua kuwa na mwanaume tall, black sio vitu vya msingi bado ujapitia changamoto wewe, wanawake wanajua ndoa ni nini na mahitaji yake ni yapi na yupi ni sahihi wa kuingia nae kwenye ndoa huwezi kukuta wanaangalia mwanaume kwa kigezo cha utall au Black wanachoangalia je huyo mtu wake unafaa kuwa baba mzuri kwa watoto wake? Ana upendo? Ana uwezo wa kubeba majukumu kama baba? Anajitambua? Ana tabia njema nk sio mlevi n.k
 
Ulikutana na changamoto zipi? ili iwe elimu kwa wanaotaka kuingia kwenye ndoa
😁😁 nilisema nimvumilie mwenzangu akiwa hana kitu tuishi tu kwakua mimi nna kijikazi tupambane nayeye apate,, kumbe alikotoka kakimbia familia 😂😂🙌🏾........ in short wadada wanaume wasio na kitu sio wa kuvumilia
😎🤏🏾
 
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
 
Ndoa salama ni nyingi sana mbona watu wanaendelea kuishi kama ndoa zao sio salama?wanazaa na Watt wengi?
 
😁😁 nilisema nimvumilie mwenzangu akiwa hana kitu tuishi tu kwakua mimi nna kijikazi tupambane nayeye apate,, kumbe alikotoka kakimbia familia 😂😂🙌🏾........ in short wadada wanaume wasio na kitu sio wa kuvumilia
😎🤏🏾
mie sina kitu ila naweza kukusaidia, huu ni ushuhuda kabisa
 
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio vinara wa kuchepuka katika ndoa zao.

Ndio maana nasema kama una ndoa salama jitokeze.
Wazee wa kataa ndoa kuna point 3 za bure zipo hapa
 
Back
Top Bottom