Bandiko lako limejaa uchawa.Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na waarabu
Machawa pro max
Hao wanawezana wenyewe, viongozi na waganga, nje ya hapo uwe na backup lasivyo utapata tabu sanaHapo kwa mapoti hapo. Usianzishe nao ligi , labda uwe una back up nzito nyuma yako.
Kuna mwingine umesahau kumtaja.Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na waarabu
Machawa pro max
HahahaWateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na waarabu
Machawa pro max
Miaka fulani Mahala fulani sitapataja madaktari walikuwa na ugomvi na mapolisi.. Ilikuwa daktari akikutwa na shida yoyote anawekwa Selo.. Madaktari nao wakaanza.. Kila polisi aliyeenda hospitali alikufa.. Polisi wakapeleka mpelelezi wao hospital .. Alikuwa na kidonda mguuni.. Alipofika hospitali naye akafa..Hapo kwa mapoti hapo. Usianzishe nao ligi , labda uwe una back up nzito nyuma yako.
π Duu mkuu na hadithi ikaishia hapohapo au utakuja kuimalizia?Miaka fulani Mahala fulani sitapataja madaktari walikuwa na ugomvi na mapolisi.. Ilikuwa daktari akikutwa na shida yoyote anawekwa Selo.. Madaktari nao wakaanza.. Kila polisi aliyeenda hospitali alikufa.. Polisi wakapeleka mpelelezi wao hospital .. Alikuwa na kidonda mguuni.. Alipofika hospitali naye akafa..
Hawa cha mtoto! Ogopa sana mlokole!Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na waarabu
watu wao wa karibu - watoto, nfugu, wazazi, marafiki wa karibu
Pamoja na kwamba watu wote wana haki sawa, ulipotaja kuogopa wahindi na waarabu imethibitisha kabisa kuwa fikra zako ni mbaya na haziwezi kulisaidia taifa.Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na waarabu
watu wao wa karibu - watoto, nfugu, wazazi, marafiki wa karibu
ππ Kwanini mkuu?? Au ulifungiwa mfungo WA maombi ukaona motoHawa cha mtoto! Ogopa sana mlokole!
Hii imekaa vzr mno!!Miaka fulani Mahala fulani sitapataja madaktari walikuwa na ugomvi na mapolisi.. Ilikuwa daktari akikutwa na shida yoyote anawekwa Selo.. Madaktari nao wakaanza.. Kila polisi aliyeenda hospitali alikufa.. Polisi wakapeleka mpelelezi wao hospital .. Alikuwa na kidonda mguuni.. Alipofika hospitali naye akafa..