Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ukinizingua, tunazinguana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na Waarabu
Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki wa karibu
Hahaha mlokole anakutandika na tunguli halafu anakuja kukupigia kelele okoka uwe kama yeyeHawa cha mtoto! Ogopa sana mlokole!
umetunga ukiwa wapi ,mkuuMiaka fulani Mahala fulani sitapataja madaktari walikuwa na ugomvi na mapolisi.. Ilikuwa daktari akikutwa na shida yoyote anawekwa Selo.. Madaktari nao wakaanza.. Kila polisi aliyeenda hospitali alikufa.. Polisi wakapeleka mpelelezi wao hospital .. Alikuwa na kidonda mguuni.. Alipofika hospitali naye akafa..
Hii ilikuwa ligi nzuri, bila Shaka ma Dr. ndio walishindaMiaka fulani Mahala fulani sitapataja madaktari walikuwa na ugomvi na mapolisi.. Ilikuwa daktari akikutwa na shida yoyote anawekwa Selo.. Madaktari nao wakaanza.. Kila polisi aliyeenda hospitali alikufa.. Polisi wakapeleka mpelelezi wao hospital .. Alikuwa na kidonda mguuni.. Alipofika hospitali naye akafa..
🤣Ilikuwa zamani. Sasa hivi hata wenyewe wanaogopa kujigusa maana hawajui mkeka unaofata kama watakuwemo..
Hakika....Pamoja na kwamba watu wote wana haki sawa, ulipotaja kuogopa wahindi na waarabu imethibitisha kabisa kuwa fikra zako ni mbaya na haziwezi kulisaidia taifa.
Tunahitaji kujenga fikra za watu wetu wajiamini, wapambane kulitetea taifa lao.
Mkurya umesema...Ukinizingua, tunazinguana...
Hayo yako mengi mno ...🤣Huku mkoani kwetu kuna Muhindi mfanyabiashara mkubwa tu binti yake alipewa Mimba na kijana fulani hivi. Yule muhindi akachukua polisi akaenda kumuweka ndani yule kijana na akazuia dhamana.
Kilichotokea baba wa yule kijana kumbe ndio mkuu wa upepelezi wa mkoa. Alipopata taarifa akamweka ndani yule Muhindi huku akizuia dhamana. Wiki nzima alikaa ndani.
Kwa hiyo hakuna asiyegusika, usipoguswa na wa chini, utaguswa na wa juu yako.
🤣🤣Hahaha mlokole anakutandika na tunguli halafu anakuja kukupigia kelele okoka uwe kama yeye
🤣Ongeza na ma lecturers, sio watu wema kabisa hao jamaa hasa damu zikipishana
🤣🤣Waarabu wasenge wanahonga balaa ila sio Hawa machotara Koko wasiokuwa na chochote kitu
"Binadamu yeyote".Mi siwaogopi wala nini? Simuogopi binadamu yoyote