Mwenye nguvu mpishe: Watu wa makundi haya hawagusiki kirahisi, wana nguvu kubwa sio wa kugombana nao utazama kwenye kina kirefu

Wafanyabiashara wakubwa alikuwepo mzee mengi ukijichanganya regardless of your power or position
Masha alikutana na mziki wa yule mzee haijulikani yuko wapi
Manji aliona ameshinda hadi pale alipokuja kukutana na right time ya mengi n.k
Aisee, umenikumbusha ya Mengi na Masilingi.
 
Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.

Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.

Wahindi na Waarabu

Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki wa karibu
Kwakweli mimi binafsi mtu wa kunishinda ni Raisi,makamu,waziri mkuu,mkuu wa polisi na viongozi wachache wajeshi na mkuu wa usalama wa taifa ila hao wengine sijui mkurugenzi,mkuu wa wilaya,wa mkoa na wengine naweza kushindana nao tu
 
Hapo kwa mapoti hapo. Usianzishe nao ligi , labda uwe una back up nzito nyuma yako.
Sio kweli kwasababu tumewahi kushindana na kanali fulani kwenye mgogoro wa ardhi masoko na tukamshinda japo alitia mikwara sana ila bahati mbaya kwake ni kwamba mimi nimezaliwa pwani
 
Sio kweli kwasababu tumewahi kushindana na kanali fulani kwenye mgogoro wa ardhi masoko na tukamshinda japo alitia mikwara sana ila bahati mbaya kwake ni kwamba mimi nimezaliwa pwani
🤣🤣
.....pwani huko ulimsomea ALBADIRI ama ulimtumia "faras bahri ahmar mwekundu upanga mkononi"?!!
 
Hatari sana
 

Na wewe mtoa thread maana ni mmoja wao.

Ninachojiuliza mbona wakiondolewa madarakani wanahangaika sana? Ni kweli wana nguvu hizo au wanalazimisha mara nyingine?
 
Wafanyabiashara wakubwa alikuwepo mzee mengi ukijichanganya regardless of your power or position
Masha alikutana na mziki wa yule mzee haijulikani yuko wapi
Manji aliona ameshinda hadi pale alipokuja kukutana na right time ya mengi n.k

In short, time changes. Kutembelea upepo wa kuteuliwa ndio kuwa na nguvu ni uongo uliopitiliza. Ukiwa na madaraka una nguvu. Ukiondolewa unahangaika kama wengine.
 
Pamoja na kwamba watu wote wana haki sawa, ulipotaja kuogopa wahindi na waarabu imethibitisha kabisa kuwa fikra zako ni mbaya na haziwezi kulisaidia taifa.
Tunahitaji kujenga fikra za watu wetu wajiamini, wapambane kulitetea taifa lao.

Watu wa aina ya huyu jamaa huwa chawa wabaya sana. Au ndio wale baba ni afisa pale ndani, na mimi ntaenda alipokuwa baba.
Wanaishia kuwa vichekesho
 
Nimeipenda hii kanuni.
 
Umesahau cartels au drug dealers wakubwa kama wa huko colombia, equador, mexico au venezeula. Dah wale jamaa wanakuwa na dunia yao. Ukijichanganya kwenye 18 zao umekwenda na maji. Ndio maana marais wa haya mataifa niliyoyataja hapo, hukanyaga kwa step sana kuepusha kukanyaga ' MASLAHi' ya hao jamaa.
 
Noma sanašŸ˜‚undava undava aise
 
Ukipata fursa ya Kumlalia muhindi au mwarabu usiiache bro maana wao wananyanyasa sana watu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…