kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
ππππAmshirikishe mwenyekiti wa kitongoji. Dawa Ina usajili wa TMDA?
Hapana niko na nyumba ya familia hata nikibalikiwa nyumba nyingine siko tayari kukaa na wapangaji nitajenga tofauti ninapo ishi mimi.Hongera sana rafiki, uzuri wewe akili unazo za kutosha.. wengine wanapitia hizo changamoto ila wanakuwa wazito kufanya maamuzi.. Bora ukae kwako hata kama hakuna mlango ila kwako.. Hapo umemaliza labda uje kuwa mnoko kwa wapangaji wako kama utapangisha ,π€£π€£π€£
Wenzake wanalambishwa ASALI yeye anakulambisha UNGA,..mwambie mzee akae mbali na wewe!Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Safiii sana Nuzulati ... wanawakwe wengine wangekuwa kama wewe hakika kungekuwa na changes kubwaa.. Sema mie na nyumba ila nipo addicted kupanga, sijui kwakuwa ni muhamaji hamaji kama mfugajiHapana niko na nyumba ya familia hata nikibalikiwa nyumba nyingine siko tayari kukaa na wapangaji nitajenga tofauti ninapo ishi mimi.
Mwavi- Rex vs Palamba s/o FundikiraHuo ni ujinga sasa mganga si ampime mtu bila kulazimisha kulamba unga, Hizo nyumba mnakaaje wakuu
Ukiwa na nyumba una amani moyoni unajua siku ukikwama unapo pa kujistili hata kama uko sehemu umepanga ila nyumba ni hazina nzuri.Safiii sana Nuzulati ... wanawakwe wengine wangekuwa kama wewe hakika kungekuwa na changes kubwaa.. Sema mie na nyumba ila nipo addicted kupanga, sijui kwakuwa ni muhamaji hamaji kama mfugaji
nenda kituo cha polisi,watkupa askari kanzu uende nae,akianza kukulazimisha huyo askari atamkamata pamoja unga wake atawekwa mahabusu pamoja na huyo mganga,thenunga utapelekwa ofisi ya mkemia mkuu wa serikali pale magogoni,then ukipimwa kama unamadhara anafunguliwa mashitaka ya kujaribu kuua!!!!....ni lazima unga huo utakutwa haufai kwani wagnga au wachawi wana tabia ya kuchanganya na miti au mizizi isiyofaa kwa matumizi ya binadam,na unakuta wamehifadhi kwa miaka mingi mpaka ime-haribika...Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Sure, ukikwama unaenda jificha tu hata ukilala njaa ni kwako, utakula maji na unga unalala π π πUkiwa na nyumba una amani moyoni unajua siku ukikwama unapo pa kujistili hata kama uko sehemu umepanga ila nyumba ni hazina nzuri.
Vizuri sanabeatboi Usikubali kamwe kulamba huo uchawi wa mwenye Nyumba. Mwambie akurudishie kodi Yako ilobaki na akupe muda wa Kuhama.
Paa za nyumba zinaficha mengi mkuuππΌββοΈSure, ukikwama unaenda jificha tu hata ukilala njaa ni kwako, utakula maji na unga unalala π π π
ukitokaa umeng'aaaa kama huna shidaPaa za nyumba zinaficha mengi mkuuππΌββοΈ
We lamba unaogopa nini? Au wewe ndio mchawi?Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Sahihi utalambaje dawa ambayo haijathibitishwa na mamlaka ya vyakula na dawa na TBS?Amshirikishe mwenyekiti wa kitongoji. Dawa Ina usajili wa TMDA?
Nimepapenda hapo kwenye bold.Angalia vizuri mkataba wako, inaweza kuwa kuna hicho kipengele.
Kama hakipo fanya maamuzi