Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

Hongera sana rafiki, uzuri wewe akili unazo za kutosha.. wengine wanapitia hizo changamoto ila wanakuwa wazito kufanya maamuzi.. Bora ukae kwako hata kama hakuna mlango ila kwako.. Hapo umemaliza labda uje kuwa mnoko kwa wapangaji wako kama utapangisha ,🤣🤣🤣
Hapana niko na nyumba ya familia hata nikibalikiwa nyumba nyingine siko tayari kukaa na wapangaji nitajenga tofauti ninapo ishi mimi.
 
Habarini ndugu wanaJF,

Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.

Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.

Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.

Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.

Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Wenzake wanalambishwa ASALI yeye anakulambisha UNGA,..mwambie mzee akae mbali na wewe!
 
Hapana niko na nyumba ya familia hata nikibalikiwa nyumba nyingine siko tayari kukaa na wapangaji nitajenga tofauti ninapo ishi mimi.
Safiii sana Nuzulati ... wanawakwe wengine wangekuwa kama wewe hakika kungekuwa na changes kubwaa.. Sema mie na nyumba ila nipo addicted kupanga, sijui kwakuwa ni muhamaji hamaji kama mfugaji
 
Ukiwa na nyumba una amani moyoni unajua siku ukikwama unapo pa kujistili hata kama uko sehemu umepanga ila nyumba ni hazina nzuri.
 
Habarini ndugu wanaJF,

Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.

Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.

Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.

Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.

Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
nenda kituo cha polisi,watkupa askari kanzu uende nae,akianza kukulazimisha huyo askari atamkamata pamoja unga wake atawekwa mahabusu pamoja na huyo mganga,thenunga utapelekwa ofisi ya mkemia mkuu wa serikali pale magogoni,then ukipimwa kama unamadhara anafunguliwa mashitaka ya kujaribu kuua!!!!....ni lazima unga huo utakutwa haufai kwani wagnga au wachawi wana tabia ya kuchanganya na miti au mizizi isiyofaa kwa matumizi ya binadam,na unakuta wamehifadhi kwa miaka mingi mpaka ime-haribika...
 
Habarini ndugu wanaJF,

Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.

Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.

Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.

Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.

Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
We lamba unaogopa nini? Au wewe ndio mchawi?

mbona wapangaji wenzako hawajaleta nyuzi
 
Daah hatari hiyo aisee yaani mtu analeta unga wake watu walambe je kama ni sumu atasemaje mwambieni Alamein na familia yake...wewe kwako achukue kodi tuu huo ujinga mwingine asiwaletee..
 
Back
Top Bottom