Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Morning
Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....[emoji3525]
Na hapo utakuja umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...[emoji4]
SitakiRudi kwenu Tanga.
Kodi imeisha ila kutafuta nyumba ni ngumu sanaTatizo nini kwani? si uhame au bado kodi haijaisha?
Sidaiw huyu dada alikuwa ananitaka sasa mimi simtakiMadeni yatakuzidia mkuu jitahidi kulipa
Ndio kwani haiwezekani?Yani ugome kuhama nyumba ya mtu?
Sana kama wa Dr kumbukaMke mzuri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu muhimu napumua au unasemaje?Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....☹️
Na hapo utakuja umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...😊
Kwanini nikae jikoni na natafuta pesa kwa shida?Kadiri unavyozidi kukaa ndio kodi inazidi kua kubwa, ungemuomba uhamie kwenye chumba kimoja au hata jikoni.
Dah wewe tena sawa bhna[emoji1787][emoji1787][emoji1787] atoke maghetoni akatafute kazi, shemeji yake akimuona anasimamisha anahisi anamuona dada ake