Mwenye nyumba anataka nihame

Mwenye nyumba anataka nihame

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Morning

Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa nina mke mzuri alikuwa anakuja kunisalimia mara kwa mara nakaa nyumba kubwa uku nyuma ya nyumba kuna msimamiz wa nyumba ni mwanamke

Sasa mara kwa mara akija wife huwa nakuwa na vitu vingi sana sasa leo nimepigiwa simu kuwa nihame wanataka kufanya marekebisho mimi nimegoma kuhama na nimemuambia wife aende nyumbani hapo

Sina kosa lolote nipo bise na mambo yangu wao ndio wananifwatilia sana nilimshauri mwenye nyumba hamtoe huyo ndugu yake hataki
 
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....[emoji3525]
Na hapo utakuja umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...[emoji4]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] atoke maghetoni akatafute kazi, shemeji yake akimuona anasimamisha anahisi anamuona dada ake
 
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....☹️
Na hapo utakuja umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...😊
Sawa mkuu muhimu napumua au unasemaje?
 
Back
Top Bottom