Mwenye nyumba anataka nihame

Mwenye nyumba anataka nihame

Morning

Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa nina mke mzuri alikuwa anakuja kunisalimia mara kwa mara nakaa nyumba kubwa uku nyuma ya nyumba kuna msimamiz wa nyumba ni mwanamke

Sasa mara kwa mara akija wife huwa nakuwa na vitu vingi sana sasa leo nimepigiwa simu kuwa nihame wanataka kufanya marekebisho mimi nimegoma kuhama na nimemuambia wife aende nyumbani hapo

Sina kosa lolote nipo bise na mambo yangu wao ndio wananifwatilia sana nilimshauri mwenye nyumba hamtoe huyo ndugu yake hataki
Kaka hela zote izo si ujenge ata karoom kakuanzia uondokane na kero 😅
 
Back
Top Bottom