Mwenye Nyumba Feki akipambana kunipiga Laki, nami Namu-enjoy

Yaani huyo mwenye nyumba feki,


Yule mganga anaewasaisaidia watu kupata utajiri,

Fremason,

Tuma,kwenye namba hii wote ni matapeli kama matapeli wengine wanaojifanya watu wa mitandao
 
Hahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.

Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Nimefanya hivi. Hajanijibu tena. Huyu mchizi amehangaika namimi toka asubuhi. Kuna kipindi nikamwambia wife atakutumia baada ya saa 1. Akawa anapiga kufanya Follow up kapiga simu kama 100. Jamaa wana imani kali sana.
 
Hahaha, tunga umfowadie sms ya mwamala, kuwa umetuma kwenda namba xxxz kiasi, salio ila kosea namba yake moja.

Copy and paste zile sms za muamala uedit.
Sheria ya upangaji unasemaje kuhusu kumtoa mpangaji anaposhindwa kulipa kodi
 
Mbwa kala mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…