Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje?

Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
 
Iko hivi mm nimepanga nyumba ila huyuu mama mwenye nyumba ana kero mm sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tuu kwa jina la baba sijuiii damu ya yesuu mm sipendi nifanyaje? Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
Kodi ikiisha tu hama.
 
Kuna nyumba niliwahi panga (nyumba nzima), sasa kuna jirani akawa analeta mishe za kufukuza wachawi kila saa 9 usiku!

Dirisha lake na langu yanatazamana, sasa nilichofanya siku moja alivyoanza tu maombi nikahamisha sound system toka sebulen kwenda chumban, nikawasha mziki mkubwa sana. Toka siku ile hakurudia tena ule ujinga.
 
Giza halikai kwenye Nuru. Hama hapo utakua umejisaidia
 
Unajua kuna muda ukitakata kutatua tatizo, basi tengeneza tatizo!
Atafute mziki mkubwa, wakianza maombi naye anakiwasha!
Oyaaaa hiloo kweli simu haitoshi
 
Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mm sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya yesuu mimi sipendi nifanyaje?

Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
Kahamie kwako...!
 
Back
Top Bottom