Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
"yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu"!Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje?
Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
Badili tabia yako ya umalaya, ukibadili tu ataacha hayo maombi.
Yaani wewe unaona fahari nyumba yake kuigeuza dangulo na usiombewe uache umalaya!