Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

hata nikiiingiza demu
Sasa cha kukushauri huyo demu ukiingiza hio siku na yeye mwambie miguno apige kwa nguvu kwa jina la Baba ziwe nyingi sana hapo bi mkubwa mwenye nyumba lazima akuelewe
 
Sasa cha kukushauri huyo demu ukiingiza hio siku na yeye mwambie miguno apige kwa nguvu kwa jina la Baba ziwe nyingi sana hapo bi mkubwa mwenye nyumba lazima akuelewe
Sawa
 
Fanya hivyo walau mara 3 bi mkubwa ataacha kupaza sauti akipaza ingiza demu mwambie apaze sauti zaidi mpaka bi mkubwa aje kuwagongea ukifungua mwambie tupo kwenye maombi na wewe unataka kujiunga?
 
Fanya hivyo walau mara 3 bi mkubwa ataacha kupaza sauti akipaza ingiza demu mwambie apaze sauti zaidi mpaka bi mkubwa aje kuwagongea ukifungua mwambie tupo kwenye maombi na wewe unataka kujiunga?
Ok ni sawa mkuu nitafanya hivyoo
 
aidha una mapepo wewe, au la anakukumbusha ujenge yako.
 
Nakushauri Jenga ya kwako utaishi kwa amani
 
Mkandamizie msumali nae itapendeza
 
Kwani tulikupeleka sisi, hapo. Pesa yako na shida zako ndizo zilikuchagulia kuishi hapo. Nyumba ya mtu iko mfukoni. Sikuambii uhame ila acha kusikiliza ibada za watu,, watakubadilisha. Weka pamba masikioni sawa na wanaokereka na speaker za adhana.
 
Hayo maombi ndio yanayokufanya ulale vyema usiku licha ya madhambi yako na siku ukihama hapo ndio utagundua nachomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…