Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
"yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu"!Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje?
Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
"watakubadilisha"! Huyu malaya anayejisifu kuingiza mademu atabadilishwa kuwa nani? Sijui dini gani inakubaliana na vitendo vya umalaya kama anavyojisifu!Kwani tulikupeleka sisi, hapo. Pesa yako na shida zako ndizo zilikuchagulia kuishi hapo. Nyumba ya mtu iko mfukoni. Sikuambii uhame ila acha kusikiliza ibada za watu,, watakubadilisha. Weka pamba masikioni sawa na wanaokereka na speaker za adhana.
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi,wenzio wanazitafuta nyumba za hivyo wewe unasema hupendi,kweli shetani hana akili...Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje?
Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
Ukishindwa kupambana Ungana, pesa huna lawama za nini sasa.