Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Sued Mwinyi ni huyo wa upande wa kulia alieshika kipaza sauti (MIC)Ahsante sana. kulia au kushoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sued Mwinyi ni huyo wa upande wa kulia alieshika kipaza sauti (MIC)Ahsante sana. kulia au kushoto?
Karibu room sijafunga kabisa PIEMU
Ahsante mtani wangu. IDI MUBARAKSued Mwinyi ni huyo wa upande wa kulia alieshika kipaza sauti (MIC)
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu, nimefurahi kumuona,. yuko vizuri kama sauti yake akitangaza mpira
Ni "raha ndani ya roho" matumizi ya "L" na "R"Kweli kabisa. anatia "laha ndani ya loho"
Ndio maana hata mimi niliweka alama " " kuonesha sio maneno rasmi
Ni TBCTBC ndiyo nini??
Kha! hivyo tu
asante mkuu ngoja niandike kwenye diary yangu nisisahau.
Sawa mkuu usisahau kuandika na jina langu kwenye hiyo diaryasante mkuu ngoja niandike kwenye diary yangu nisisahau.
sawa nimeshaaandika na jina lako mkuu.
Nilijua tu..Shukrani mkuu, nimefurahi kumuona,. yuko vizuri kama sauti yake akitangaza mpira
Aah usijali mi mtu mzima nishaelewa tusiwape faida watu..😀😀😀😀😀 Ulijua nini tena?!!!