GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Achana na biti ya Mikasi- Ngwair hio ndo beat hatari kuliko zoteSidhani kama kuna beat iliyowahi kuvuma kama hiyo ya
"Nini mnataka"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na biti ya Mikasi- Ngwair hio ndo beat hatari kuliko zoteSidhani kama kuna beat iliyowahi kuvuma kama hiyo ya
"Nini mnataka"
Yeah...hata hiyo ni kali haswaAchana na biti ya Mikasi- Ngwair hio ndo beat hatari kuliko zote
lile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.
Black Rhyno, Simple X na Donkoli ndo wadogo wa Prof J.Mkuu Pig black sio mdogo wa plof,,
Nimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na BizmanP Funk yupe jamaa ni nyoko aiseee. Nashangaa sijui ndo uzee au kaamua tu kupumzika ila bila yeye/bongo records hii bongo fleva isingekua kama ilivyo sasa.
Eti saiv anasafiria nyota ya Harmrapa......kweli dunia duara
Jamaaa alikua kiburi halafu mbabe....amewatia makofi sana wasanii hawa. Na foleni lake kurekodi kwake au kuonana nae ilikua balaaaaNimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na Bizman
Huyo bizman kutwa tunashinda nae kubetiNimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na Bizman
seriously guys.!!
Vipi beat ya Naja- Squeezer ft NatureAchana na biti ya Mikasi- Ngwair hio ndo beat hatari kuliko zote
Mtoto IddiVipi beat ya Naja- Squeezer ft Nature
Kulikuwa na rumours kuwa alimwambia Ray C mara ya kwanza kuwa ukija kurecord kwangu uje na condom...[emoji23]Jamaaa alikua kiburi halafu mbabe....amewatia makofi sana wasanii hawa. Na foleni lake kurekodi kwake au kuonana nae ilikua balaaaa
Nimeshangaa juzi kati naona picha kamshikia keki harmorapa mara analalamika sijui rapa kaibiwa akaunti ya insta. Ndo maana nikasema kila zama na kitabu chake kwakweli
Kulikuwa na rumours kuwa alimwambia Ray C mara ya kwanza kuwa ukija kurecord kwangu uje na condom...[emoji23]
Kina Rah P, Zay B, Ray C na sister PSidhani kama ni rumours.......na amewaburuza sana wasanii wa kike pale
lile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.
duuu umenikumbusha mbali sanaKama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa
Nani huyo.mkuu kuna jamaa alikua anakutafuta
BLACK RIHNO ndiye mdogo wake wa damu professa jayYule mdogo wake profesa ni 'Simple X'
Umamkumbuka kwenye ngoma kama 'hakuna noma' ya Prof. Ft Inspekta Haroun na Simple X..
Ndo dunia bwana kila mtu anawakati wake kama unavyoona leo T - TOUCH anavyoumiza jiji.P Funk yupe jamaa ni nyoko aiseee. Nashangaa sijui ndo uzee au kaamua tu kupumzika ila bila yeye/bongo records hii bongo fleva isingekua kama ilivyo sasa.
Eti saiv anasafiria nyota ya Harmrapa......kweli dunia duara
ukiondoa Play Boy hii ndio ngoma kali zaidi kutoka kwa Nikki Mbishi.Ile ngoma kali sana