Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

lile beat mi huwa linanimaliza,kile kipindi cha sauda mwilima alikua analitumia kipindi kikianza na kwisha nilikua nawahi niliskii,P funk mikino yake balaa.

P Funk yupe jamaa ni nyoko aiseee. Nashangaa sijui ndo uzee au kaamua tu kupumzika ila bila yeye/bongo records hii bongo fleva isingekua kama ilivyo sasa.

Eti saiv anasafiria nyota ya Harmrapa......kweli dunia duara
 
Nimecheka kama mazuri kuwa kinywele kimoja anafukuzia nyota ya Harmorapa kiki those was days beats classic ni kwa P na master then wakaja kina John Mahundi,Enrico kitambo na Bizman
 
Jamaaa alikua kiburi halafu mbabe....amewatia makofi sana wasanii hawa. Na foleni lake kurekodi kwake au kuonana nae ilikua balaaaa

Nimeshangaa juzi kati naona picha kamshikia keki harmorapa mara analalamika sijui rapa kaibiwa akaunti ya insta. Ndo maana nikasema kila zama na kitabu chake kwakweli
 
Huyo bizman kutwa tunashinda nae kubeti
 
Jamaaa alikua kiburi halafu mbabe....amewatia makofi sana wasanii hawa. Na foleni lake kurekodi kwake au kuonana nae ilikua balaaaa

Nimeshangaa juzi kati naona picha kamshikia keki harmorapa mara analalamika sijui rapa kaibiwa akaunti ya insta. Ndo maana nikasema kila zama na kitabu chake kwakweli
Kulikuwa na rumours kuwa alimwambia Ray C mara ya kwanza kuwa ukija kurecord kwangu uje na condom...[emoji23]
 
Sidhani kama ni rumours.......na amewaburuza sana wasanii wa kike pale
 
Kama kichwa kinavojieleza,huyo msanii namkubali sana,ni msanii wa hip hop hapa bongo na ana ladha na uandishi wa kipeke yake,ana mashairi ambayo huwezi kukalili kamwe,sanasana utaambulia vimistari vinne vitano.ana Rap ya kipeke yake haifanani na rap ya msanii wa aina yeyote yule duniani.ana sauti flani hivi ya kuchana ambayo inaleta ladha,aliwahi kuwika na ngoma kama mtoto wa mjini,nini mnataka,ninapokuja Dar,tabasamu,nisikilize,pig black,n.k.ila tatizo siijui sura yake kabisa na natamani sana kuijua sura yake na hata jina lake mitandao ya kijamii..naomba mwenye sura yake aitupie hapa
duuu umenikumbusha mbali sana
 
P Funk yupe jamaa ni nyoko aiseee. Nashangaa sijui ndo uzee au kaamua tu kupumzika ila bila yeye/bongo records hii bongo fleva isingekua kama ilivyo sasa.

Eti saiv anasafiria nyota ya Harmrapa......kweli dunia duara
Ndo dunia bwana kila mtu anawakati wake kama unavyoona leo T - TOUCH anavyoumiza jiji.
 
Back
Top Bottom