Mwenye picha ya Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya COVID-19 aiweke hapa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Wajameni,

Yeyote mwenye picha ya Rais wa Jamhuri ya Kenya,Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya covid-19 aiweke hapa.Hii itasaidia Wakenya kupata imani kuwa chanjo hiyo ni salama isije kuwa anakwepa majukumu.

Asanteni wajameni
 
Hakika, covid 19 imefunua hadharani misuli ya wazee wetu waliopo madarakani kwa kiwango cha 5G. Magufulification ndio kaibuka Gaddafi wa wote, ikibidi hata nife lakini sifungii mtu hapa.

Huwezi lazimisha kuku wa kienyeji akaishi maisha ya kuku wa kisasa.
 
Nimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.

Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.
 
lete picha uliyoombwa wewe acha porojo
 
Toka korona ije tumeshuhudia sarakasi na sambasoti za kila namna ila huku kwetu jamaa kaamua kupiga msamba tu..[emoji1787]
Huko kwengine Kuna lokidauni za usiku tu halafu mchana mnajiachia..

Africa sihami..[emoji1787]
Hapo kwenye msamba nimecheka sana.
 
Hakika, covid 19 imefunua hadharani misuli ya wazee wetu waliopo madarakani kwa kiwango cha 5G. Magufulification ndio kaibuka Gaddafi wa wote, ikibidi hata nife lakini sifungii mtu hapa.

Huwezi lazimisha kuku wa kienyeji akaishi maisha ya kuku wa kisasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajachanjwa. Hata Waziri wa Afya nae anaikwepa - eti anasubiri "zamu yake ifike" baada ya watu waliopo kwenye risk kubwa kudungwa kwanza. Wanataka waone kwanza itareact vipi kwenye miili ya wakenya wenzao
1615895166126.png
 
Nimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.

Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.

Mada na kinacho jibiwa tofauti.nakuuliza 1 we unajibu 0.jibu chanjo kapata na picha kama walivokuwa wanapost vimeengia vipaumbele viongozi kupata chanjo.
 
Nimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.

Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.
Mzee wa Msoga alipokwenda kutibiwa tezi dume, watu walifurahi akatoa hamasa na wengine kujicheck, bongo huyu kijana mzee hata aumwe tunaambiwa yupo kazini ila mke wake alipoumwa ugonjwa fulani tulipigiwa hata picha za Muhimbili.
 
Back
Top Bottom