Mwenye picha ya Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya COVID-19 aiweke hapa

IMG_6084.jpg

Vp
 
[emoji23][emoji23] M7 anachekesha kumbe ukiwa na ulinzi wa kutosha tu hupati corona
Endeleeni kuwabeza wengine kwenye janga hili huku mkijiona special, wakati hakuna nchi hata moja duniani ambayo imesazwa na kirusi cha COVID-19. Museveni hana hamu ya kuagwa kama mwendazake na ameona afate muongozo wa mwenzake rais wa EAC, Uhuru Kenyatta. Chanjo amedungwa leo hii alasiri wakiwa na mke wake Janet.
ExeqsOIWYAA2GnY-750x617.jpg
 
Hahahahaha
Msubirie blood clotting sides effect in case imetumia astrazeneca , sisi tutatumia johnson johnson
 
Nyinyi mtakaoitumia hiyo 'Johnson Johnson' ndio kina nani? Unamaanisha nyinyi Tanzania, Burundi au N.Korea? Hivi nyungu season 2 imefika wapi? Hayo mambo ya blood clot umeyathibitisha kwa utafiti upi? Kama sio ubabe wa peni mbili mzee wenu wa mikwara angekuwa amepata chanjo zamani na hadi sasa hivi bado angekuwepo akienjoy maisha.
 
Back
Top Bottom