joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Msimamo kukataa kuwa mfano kwa raia wake kwa kuchoma chanjo? Hapo ndipo uone hata yeye mwenyewe ana wasiwasi na hiyo chanjo.Chanjo zimeletwa kwa Wakenya kila mmoja kwa hiari yake, ila kipau mbele ni wale walio hatarini haswa wauguzi wanaokumbana na waathirika wa corona kila siku.
Kwa kweli mpaka hapo, rais wetu amedhihirisha yeye ni kiongozi tena mwenye busara na weledi, sio unabadilisha kauli na misimamo haueleweki, unaishia kulichanganya taifa watu mamilioni wanaachwa kama mayatima, hawajui aidha wavae barakoa, hawajui kama corona ipo, hawajui kama changamoto sijui la kupumua, hawajui chochote wamekaa tu kama mifugo...halafu kiongozi unatoweka ghafla na wananchi wako wanakamatwa kamatwa wakianza kuhoji ulikokwenda.
Ujuha sana huo tena uliokubuhu......
Hee kumbe ni hiyari yako,basi hata sisi tupo sawa manake ni hiyari ya mtu kuchoma si lazima.
Naingalia mikutano ya Ruto sizioni hizo barakoa,tatizo lenu Wakenya mnakili vinywani ila kwenye matendo ni sifuri.