MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Piga ua, hakuna gonjwa la kujivunia. Na hivyo ndivyo tumechagua kunyamaza. Iwe gonjwa la aibu au kifahali hiyo ni juu yetu.
Hehehe!!! Mnachekesha sana mjue.... haka kamdudu kamefanya mpoteane na kuchanganyikiwa sana, mara ooh mumekagundua kwenye mapaipai mara kamemalizwa kwa maombi....mara maprofesa "wasomi" wenu wafuate maji ya tangawizi Madagascar eti ndio dawa...mara mawaziri waigize kwenye TV wakinywa maji yaliyotiwa limau....yaani kauli za ajabu ajabu na ndio maana mumepata aibu ya taifa na kubadilisha jina na kuita "changamoto la kupumua", kamesababisha dunia inawaona kama kituko fulani hivi.
Leo hii naona imebaki mwendo wa kutuma salamu tu...hehehe!!!