Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hahaha yule mzee anazeeka vibaya. Kawatoa chambo raia wake kwa hiyo...Yule babu, mkongwe kabisa ukanda huu wa Afrika mashariki, kasema yeye kwanza anasikilizia wale waliochoma kama wataendelea vizuri.
Toka korona ije tumeshuhudia sarakasi na sambasoti za kila namna ila huku kwetu jamaa kaamua kupiga msamba tu..🤣HV status ya kuchanja watu upoje huko..maana nasikia chanjo waliyonunua inagandisha damu kichwani
lete picha uliyoombwa wewe acha porojoNimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.
Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.
lete picha uliyoombwa wewe acha porojo
Hapo kwenye msamba nimecheka sana.Toka korona ije tumeshuhudia sarakasi na sambasoti za kila namna ila huku kwetu jamaa kaamua kupiga msamba tu..[emoji1787]
Huko kwengine Kuna lokidauni za usiku tu halafu mchana mnajiachia..
Africa sihami..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika, covid 19 imefunua hadharani misuli ya wazee wetu waliopo madarakani kwa kiwango cha 5G. Magufulification ndio kaibuka Gaddafi wa wote, ikibidi hata nife lakini sifungii mtu hapa.
Huwezi lazimisha kuku wa kienyeji akaishi maisha ya kuku wa kisasa.
Mkuu si msamba tu inatosha hatutaki mengi Kuna jirani hapo kila siku anaruka mikuchu..🤣Hapo kwenye msamba nimecheka sana.
Mzee mjanja sana yuleYule babu, mkongwe kabisa ukanda huu wa Afrika mashariki, kasema yeye kwanza anasikilizia wale waliochoma kama wataendelea vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu si msamba tu inatosha hatutaki mengi Kuna jirani hapo kila siku anaruka mikuchu..[emoji1787]
Nimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.
Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.
Mzee wa Msoga alipokwenda kutibiwa tezi dume, watu walifurahi akatoa hamasa na wengine kujicheck, bongo huyu kijana mzee hata aumwe tunaambiwa yupo kazini ila mke wake alipoumwa ugonjwa fulani tulipigiwa hata picha za Muhimbili.Nimeona sehemu makamu kwenu huko mama Samia amefikisha salamu za mkulu wenu ila bado hamridhiki, bado mnamsaka mkulu kwenye mitandao, halafu yule Mbelgiji bado anatema cheche kule Twitter....yaani kwenu huko ni show za kiajabu.
Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu, jameni hata Trump akiwa rais wa taifa lenye uwezo zaidi yenu mara 1,000 alipoumwa Corona, alikubali itangazwe, akalazwa na hatimaye kupona. Wala dunia haikuhangaika kumsema, hakukua na mijadala kumhusu au kamata kamata.
Nchi zinazotawaliwa kifalme bila demokrasia ndio viongozi wao wakiumwa, hung'ang'ania hata akipumulia mashini bado inatangazwa yupo kazini, ila demokrasia hutambua urais kama taasisi, na kama rais anaumwa, inasemwa tu anapewa muda atulie pembeni hadi apate nafuu huku uongozi ukipokezwa makamu wake amkaimu.
Tuma picha uliyoombwa kwanza alafu ndo uje na mada yako na wwMpeni huyu jibu maana ndio swali linalowazonga mamilioni ya Watanzania Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?
Piga ua, hakuna gonjwa la kujivunia. Na hivyo ndivyo tumechagua kunyamaza. Iwe gonjwa la aibu au kifahali hiyo ni juu yetu.Hivi mbona Watanzania mumefanya Corona iwe kama gonjwa la aibu,