Mwenye picha ya Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya COVID-19 aiweke hapa

Piga ua, hakuna gonjwa la kujivunia. Na hivyo ndivyo tumechagua kunyamaza. Iwe gonjwa la aibu au kifahali hiyo ni juu yetu.

Hehehe!!! Mnachekesha sana mjue.... haka kamdudu kamefanya mpoteane na kuchanganyikiwa sana, mara ooh mumekagundua kwenye mapaipai mara kamemalizwa kwa maombi....mara maprofesa "wasomi" wenu wafuate maji ya tangawizi Madagascar eti ndio dawa...mara mawaziri waigize kwenye TV wakinywa maji yaliyotiwa limau....yaani kauli za ajabu ajabu na ndio maana mumepata aibu ya taifa na kubadilisha jina na kuita "changamoto la kupumua", kamesababisha dunia inawaona kama kituko fulani hivi.

Leo hii naona imebaki mwendo wa kutuma salamu tu...hehehe!!!
 
Ungejikita kwenye hoja acha porojo
 
Wajameni,

Yeyote mwenye picha ya Rais wa Jamhuri ya Kenya,Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya covid-19 aiweke hapa.Hii itasaidia Wakenya kupata imani kuwa chanjo hiyo ni salama isije kuwa anakwepa majukumu.

Asanteni wajameni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yule jamaaa ni mjanja we unafikiri hasikii au hapati wasiwasi anavyo ona Mataifa makubwa yanavyo ikata ASTRAZENECA ? yupe itakuwa kqjidunga. johnson vaccine, ila mwanachin/mama mboga hao wata pambana na ASTRAZENECA ili wakumbane na blood clotting
 
Hoja ni covid19 ambayo imeumbua mengi kwa viongozi wa Afrika. Kiongozi anaweza kuamua ang'ang'anie hata kama hadi kuzimu.
Kiongozi wako zile chanjo alizo letewa kachoma?

Au ndio kawageuza chambo kwanza mchome nyingi,asikilizie side effects,manake kiongozi mzuri anao ongoza kwa mifano.

Au nae kaamua kuuchuna kama M7.
 
Kiongozi wako zile chanjo alizo letewa kachoma?

Au ndio kawageuza chambo kwanza mchome nyingi,asikilizie side effects,manake kiongozi mzuri anao ongoza kwa mifano.

Au nae kaamua kuuchuna kama M7.

Chanjo zimeletwa kwa Wakenya kila mmoja kwa hiari yake, ila kipau mbele ni wale walio hatarini haswa wauguzi wanaokumbana na waathirika wa corona kila siku.
Kwa kweli mpaka hapo, rais wetu amedhihirisha yeye ni kiongozi tena mwenye busara na weledi, sio unabadilisha kauli na misimamo haueleweki, unaishia kulichanganya taifa watu mamilioni wanaachwa kama mayatima, hawajui aidha wavae barakoa, hawajui kama corona ipo, hawajui kama changamoto sijui la kupumua, hawajui chochote wamekaa tu kama mifugo...halafu kiongozi unatoweka ghafla na wananchi wako wanakamatwa kamatwa wakianza kuhoji ulikokwenda.
Ujuha sana huo tena uliokubuhu......
 
Chanjo ya korona kwa hapo Kenya wameanza na mang'ombe baada ya hapo ndio wataenda phase || kwa binadamu(Uhuru,raira,ruto)
 
Hoja ni covid19 ambayo imeumbua mengi kwa viongozi wa Afrika. Kiongozi anaweza kuamua ang'ang'anie hata kama hadi kuzimu.
unajaribu kujifunika blanket na mfuzi wako[emoji23][emoji23][emoji23].

embu chanjweni huko,msitake kutembelea kick ya jpm.
 
unajaribu kujifunika blanket na mfuzi wako[emoji23][emoji23][emoji23].

embu chanjweni huko,msitake kutembelea kick ya jpm.

Tutatembeleaje kiki ya jemedari ambaye keshatoweka kwenye uwanja wa mapambano, medani ya vita, hajulikani aliko, labda ameenda kuchanjwa huku wakiwaimbisha wengine nyimbo za uzalendo dhidi ya corona.
JPM huwa namkubali sana kwa ujasiri wake na kujiamini, ila kwa hili ameboronga balaa, taifa mumekaa kama mayatima hamjui kulikoni.
Hata Trump pamoja na ukaidi wake na ubalaa wake alikubali alipoathrika na akalazwa kisha ikaw sawa. Kwenu huko mkulu ametoweka mkiwa katikati ya mapambano, hamna kinachosemwa ni maigizo tu eti katuma salamu...hehehehe
 
weka akiba ya maneno,usijeonekana kichaa mbele ya safari.
 
weka akiba ya maneno,usijeonekana kichaa mbele ya safari.

Sasa sijui maneno yapi nitayaweka akiba maana maswali yapo mengi hata kuyatunza nitajaza server ya ubongo wangu bure, nikipitia nyuzi zenu kwenye jukwaa la siasa nasoma Watz kama mumechanganyikiwa vile, kila mmoja na kauli zake, mod wana kazi ngumu sana ya kufuta nyuzi huko.
 
Trump hakuumwa Corona. Alifanya kiki tu ili awaaminishe wamarekani, Corona siyo kitu.

Trump akili zake kama za Magu.

Check Dr. Mpango alivyopululuka, mazee Covid-19 ain't a joke!!

Kwa umri wa Trump angekuwa kwenye hali tete mnoooo.

Check Jiwe, yuko wapi sasa *****.

Covid-19 πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Yule babu, mkongwe kabisa ukanda huu wa Afrika mashariki, kasema yeye kwanza anasikilizia wale waliochoma kama wataendelea vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23] yule katia mpira kwapani anawatizama wana nchi kwa mbaliii wakipata chanjo yeye hapana haaa haaa
 
Toka korona ije tumeshuhudia sarakasi na sambasoti za kila namna ila huku kwetu jamaa kaamua kupiga msamba tu..[emoji1787]
Huko kwengine Kuna lokidauni za usiku tu halafu mchana mnajiachia..

Africa sihami..[emoji1787]
Wakati usiku hakuna msongamano mkubwa ila ndiko lockdown inahusika, tatizo hawajiamini uoga wa kutengwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…