Mwenye picha ya Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya COVID-19 aiweke hapa

Msimamo kukataa kuwa mfano kwa raia wake kwa kuchoma chanjo? Hapo ndipo uone hata yeye mwenyewe ana wasiwasi na hiyo chanjo.

Hee kumbe ni hiyari yako,basi hata sisi tupo sawa manake ni hiyari ya mtu kuchoma si lazima.

Naingalia mikutano ya Ruto sizioni hizo barakoa,tatizo lenu Wakenya mnakili vinywani ila kwenye matendo ni sifuri.
 
Kwenu huko sio hiari, serikali imekataa haizileti ili iwe hiari ya kila mmoja, sasa leo mpo mpo tu.....yaani ujamaa bana.
 
Walivyomuuliza akasema "I'm carefull".
[emoji14] [emoji14] 😛
Mie mwenyewe nilicheka sana, yeye mgomo wake ni wakimya kimya, kwetu hapa haangaliagi sura anaongea tu [emoji3][emoji3]
 
Kwenu huko sio hiari, serikali imekataa haizileti ili iwe hiari ya kila mmoja, sasa leo mpo mpo tu.....yaani ujamaa bana.
Mimi sioni tofauti yenu na yetu sababu kitu chenyewe ni hiyari na si lazima.

Nina uhakika hata wewe hutochoma manake mpaka waziri wa afya anakwambia yeye atakuwa wa mwisho kuchoma,yaani viongozi wenu wanajifanya wanawapenda mkiwapa kisogo wanawang'ong'a.

Rais wenu kawageuza nyinyi mbuzi wa kafara.
 
Mie mwenyewe nilicheka sana, yeye mgomo wake ni wakimya kimya, kwetu hapa haangaliagi sura anaongea tu [emoji3][emoji3]

Hataki malumbano, anayetaka kuchoma haya, ambaye naye yuko careful kama yeye, pia sawa.
 
Tofauti iko kubwa sana maana huku kwetu kila mmoja ana uhuru wa kufuata, kwa mfano mimi hapa nasubiri kwa hamu wakamilishe hao walio hatarini (wauguzi) kisha ije kwetu sote, yaani hata ikitangazwa muda huu kwamba ipo tayari kwa sisi wengine, aisei nitaacha kila ninachokifanya nikachanjwe.
Sasa kwa Tanzania hamna mwenye uhuru huo kama wangu, labda mwenye hela ndiye ataweza aidha kuzamia kuja Kenya au asafiri kwenda Ulaya ndio akapate chanjo kimya kimya. Makajamba wengine itabidi wasubiri mkulu ataamka vipi, akiendelea kushupaza shingo ndio mtaendelea kupukutika tu bila afueni. Na kwa sasa ametoweka kwenye uwanja wa mapambano anatuma tu salamu akiwa kusikojulikana.
 
Sasa hivi ni nchi ama utopolo? Nchi lazima iwe na msimamo wa kitaifa ndiyo maana mnahangaika na ukabila hata Rais na Makamo wake hawaelewani kweli Kenya ni Kunyaland.
 
Your browser is not able to display this video.

Najaribu kuwaza ingekua rais wetu ndiye amejificha hivi, humu JF hakungelika kwa namna Watanznia humu wangekejeli.
 
Haya picha ndio hii.... ila jameni serikali harakisheni hizi chanjo zitufikie mtaani, tangazeni lini tuziwahi mapema...twafwa

Amefanya jambo la busara sana. Alafu shughuli yenyewe inaendelea vizuri. Ukizingatia kwamba wahudumu wa afya na wengine ambao walikuwa kwenye hatari kubwa zaidi wamedungwa chanjo tayari.
 
Amefanya jambo la busara sana. Alafu shughuli yenyewe inaendelea vizuri. Ukizingatia kwamba wahudumu wa afya na wengine ambao walikuwa kwenye hatari kubwa zaidi wamedungwa chanjo tayari.

Kuna mtu amenifahamisha kwamba Mbagathi wanadunga yeyote anayeibuka. Kama utakua na hizo taarifa utusaidie, nipo tayari kuwahi popote itatajwa.
 
😡😡😡
 
Huyo apo!
 
Attachments

  • Screenshot_20210327_231221.jpg
    59.3 KB · Views: 1
Hajachanjwa. Hata Waziri wa Afya nae anaikwepa - eti anasubiri "zamu yake ifike" baada ya watu waliopo kwenye risk kubwa kudungwa kwanza. Wanataka waone kwanza itareact vipi kwenye miili ya wakenya wenzao
View attachment 1727099
Kina MK254 ndo chambo hao wachanjwe kwanza!! Halafu kenyata na mawaziri wake wawatazame kwanza kea miaka miwili ndio na wao wachanjwe!! Mtani wetu MK254 umeipata hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…