Mbona keshakosa mume! Huyu passion lady hawezi kuolewa hadi nimkague! Ruttashobolwa anamdanganya ili akishamchezea arudi zake kwa Madame B!
naandika mswada wa marekebisho ya sheria ya ukaguzi na nitaipost hapa muda sii mrefu kabla hata hawajakamilisha ndoa feki
we pole pole, rutta anajua kabisa aina ya ndoa aloifunga na madame, sasa wewe usilolijua ni sawa na usiku mwa giza, kibaya huna hata kijinga cha moto kikusaidie kumulika usijikwae.
Tatizo lako hutaki kuambiwa ukweli mtupu, mwishoni usitulaumu utakapokosa vyota na kupata stress.
hahaha, i like law, just a word can make a law not enforceable.
Ila kibaya ni kwamba rutta huwa lawyers wanavitumie vijineno visivyoeleweka ktk sheria kwa maslah yao tu, hawawezi kutumia kwa wengine.
Na kwa hyo loop chief hata mimi sina nguvu ya kukushawishi, ila ninachokifanya nw ni kufanya mpango kipengele cha kudelegate kiwepo katika chitchat inspection Act 2006 R.E 2010 nov.
Nitahakikisha hichi kinafanyika b4 the date of your marriage.
Pia nafikiria kuongeza idadi ya wakaguzi wa mkaguliwa wawe wawili (couples zenye uzoefu wa atleast 5yrs na zilizo na ushuhuda cc) mfano: Filipo & Marejesho, The bos & Secretary. Lengo ni kupunguza uchakachujaji wa ukaguzi, kwani mkaguzi awapo mmoja ni rahisi kumchakachua/kuchakachuliwa na mkaguliwa.
Nawasilisha
Sawa sawa Voice of Wisdom, tenda haki.
mwambie akufundishe namna ya kuthibitisha maana hapo hujathibitisha
halafu we mtu wa chini ya mlima vp, lazima kuna sababu, haiwezekani ile kesi ya kikuku ikaisha hivi hivi. Itabidi niipange upya, maana naona rutta ana presha ya kupingwa kumwoa aliyemtangazia nia
we pole pole, rutta anajua kabisa aina ya ndoa aloifunga na madame, sasa wewe usilolijua ni sawa na usiku mwa giza, kibaya huna hata kijinga cha moto kikusaidie kumulika usijikwae.
Tatizo lako hutaki kuambiwa ukweli mtupu, mwishoni usitulaumu utakapokosa vyota na kupata stress.
hahahhahah MH rutta kwani mimi si ninasema kile client wangu alichoniambaia na vilelezo alivyonipa, nami ndio maana awali nilimwuliza mbona umekuwa ukitajwa na wanaume wengi na hukuwahi kukanusha kuwa ni waume wake, ndipo akaja na supporting doc amabzo zinamruhusu yeye kuolewa na zaidi ya mume mmoja, sasa mimi napotosha nini hapo? mheshimiwa sana, mi nafanyia kazi kile nilichoambiwa baada ya kupata supporting doc za kuthibitisha. na mkataba wenu wa ndoa amenipa tayari, na umesaini mh. kwani mimi nimesahau saini yako mh? hapani sijasahau!
halafu hati yako ya talaka pia nimeipata, katika hati hiyo ulisema umempa muda ajifikirie/ajirekebishe na siku akitaka kurudi milango iko wazi (talaka rejea au umesahau mh?) sasa kama unataka kufunga ndoa nyingine si vibaya, we fuatilia zile taratibu nyingine za kumpa talaka ya moja kwa moja kabisa na umpe stahiki zake. mh kila kitu iko wazi.
hizo taarifa zangu ni according to information nilizonazo toka kwa Madame B, sasa kama na wewe una zako ambazo ni kinyume na hizi ziweke kweupe tuzione, usiongee sana bila kuwa na supporting doc. mi sikatai umempa talaka, ila talaka uliyompa ilikuwa kama umempa likizo, kama sivyo weka jina la aliyeteuliwa kugawa mali!
chief ni kwamba hatutungi mpya sheria inayompa Filipo khaki ya kumkagua akanana wako bali tunarekebisha iliyopo,
ila tambua mtego wa panya huwakamata waliomo na wasiokuwemo, hapa ni kuangalia namna ya kudelegete majukumu ukizingatia babu asprini amezeeka, na kasi ya kufunga ndoa hapa cc imekuwa ni kubwa kiasi ambacho hata kama angekuwa kijana asingeweza kuhimidi.
pili sababu ya kurekebisha sheria hii ni kuona kuwa mkaguliwa na mkaguzi hawachakachuani
na tatu ni ili kuongeza ufanisi katika zoezi zima la ukaguzi kwani lengo la ukaguzi
chief, naona sasa unaanza kuchanganya mambo, je mi nimewahi kusema babu amedelegete majukumu yake kwa Filipo?
siwezi kuthibitisha jambo ambalo sikusema kwa kumbukumbu zangu, na ndio sababu nilisema inabidi sheria irekebishwe ili kutoa mwanya wa kudelegate majukumu ya ukaguzi
Hapo sasa! Hebu niambe ni aina gani ya ndoa nimefunga na Madame B?
Ruttashobolwa naomba unisikilize kwa makini.
Kumbuka mimi hukunipa talaka na wala hujatoa tamko rasmi la Kuniacha,bali uliniambia kuwa niende nikazurure kwa wanaume wengine ila nikitaka kurudi milango iko wazi.
Sasa leo nashangaa uliposema eti umenipa talaka.
Nakataa kuwa HUKUNIPA TALAKA HIVYO BASI MIMI BADO NI MKE WAKO HALALI.
Na kuhusu suala la kuwa na waume wengi huo ni uamuzi mfikiwa kati ya Mwanamke na Mwanamme.
Na kumbuka kuwa wewe Ruttashobolwa ulinitoa ktk ndoa yangu ya awali kati yangu na Ruhazwe JR.
Japo sikupewa talaka.
Sasa mbona hukuwahi kuniuliza kama nilipewa talaka?
Wewe Arushaone, Chilli na tedo mtabaki kuwa waume zangu mpaka hapo Uamuzi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam upande wako.
Mahakama ya Mkaazi Arusha, upande wa Arushaone.
Mahakama ya Bukavu,Le Public of Congo,upande wa Chimbuvu.
Na Mahakama za Mwanzo Mwanza,upande wa tedo na Chilli zitakapothibitisha kwa maandishi kuwa umenipa talaka.
Ila otherwise,siwezi kubali ufunge ndoa na passion lady.
Voice of Wisdom,endelea na kazi,asikutishe.