Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze


NAWEKA PINGAMIZI.
Wewe bado ni mume wangu.
Weka taarifa za kikao mezani pale niliposaini kuwa nimeipokea talaka yako.
Kumbuka kaka yako Bishanga ni shahidi namba 1.
 
Last edited by a moderator:
Madame B si kamati ya kupinga ndoa yake ila ni kamati ya kubadilisha utaratibu wa kukugua, katika suala la kunyang'anywa mumue yeye ni mtuhumiwa, ila katika suala la marekebisho ana haki ya kuingia huko kama chief judge wa cchc. hivyo Madame B wala usiwe na shaka katika haki kutendeka
 

Hii lugha ngumu sana.
 

Well Noted.
 
slip of the pen, hahahahahahaha nothing like slip of the pen, hilo ni kosa la kuandika haraka haraka kama unakimbizwa huna hata muda wa kuproof read, mistake noted chilli
 
Mimi sina ndoa nawewe Bishanga ana jua fika me na wewe tuliachana!

NAWEKA PINGAMIZI.
Wewe bado ni mume wangu.
Weka taarifa za kikao mezani pale niliposaini kuwa nimeipokea talaka yako.
Kumbuka kaka yako Bishanga ni shahidi namba 1.
 
Last edited by a moderator:
Sina ndoa na mteja wako!
Kwanza pelekeni hayo malalamiko kamati husika!

 
Ni kazi yako kupeleka kamati husika huo uthibitisho!

Mtafute Bishanga popote alipo,aje hapa Atamke kwa mdomo wake jinsi wewe na huyo kaka yako mlivoniita kwenu Bukoba ili nikubali kuwaacha waume zangu nibaki na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Samahani kwa kuingilia hapa kati, ila ningependa kujitokeza kwenye hii kamati kama shahidi wa upande wa mlalamikaji ( Madame B). Wakati namzengea huyu mlalamikaji na kumtaka nimuweke ndani, aliniambia kwamba by the time ni mke wa loya Ruttashobolwa, na hata mwenyekiti wa kamati ya mahusiano CC bwana Baba V (RIS) akanithibitishia hapa. Baada ya muda nilipotaka kumchukua mazima (kabla mkongoman Chimbuvu hajaniwahi) ndugu ruttashobplwa alishawahi kunipiga biti niachane na mkewe na ushahidi wa post nimeshuandaa.
Na, as far as I know sijawahi kuona hapa jukwaani huyu loya akisema ama akimpa talaka huyu bi mkubwa. Hivyo pamoja na mambo mengi, huyu bi mkubwa bado ni mke halali wa loya Ruttashobolwa.
Naomba kuwasilisha ushahidi wangu kwenye kamati yenu.
 
Last edited by a moderator:
Swts unanierewa?
 
Last edited by a moderator:

Bora Umekuja mme wangu Chilli unisaidie.
Me mpaka leo Tar 02/01/2013, 03:21pm siku ya Jumamosi najua bado waume zangu halali ni Arushaone, Chilli, Chimbuvu, Chibolo, Ruttashobolwa, tedo, matumbo, Bobby na Kimbweka, Period!!!
Na sitaki kujiuliza Tuko Wangapi maana nishatulizana nao.
 
Last edited by a moderator:
dear na ww ilikuaje ukamuoa MADAME B?yani ni king'ang'anizi kama nn,wanaume wote hao hawamtoshi bado anakutaka na ww,tufungie ndoa kwenye ndege kuepuka usumbufu
 
Naona mmejipanga kupotosha kabisa hakuna ndoa kati yangu na madame b narudia tena!

Ndoa ilivunjwa na nisingeweza kutangaza nia bila kumuacha!

Weka huo ushahidi!

 
Last edited by a moderator:
mi yangu macho, natazama tu na maandalizi yanaendelea,wapige mayowe mwisho watazima zao,staki shida,tena wakuache huby wangu RUTTASHOBOLWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…