Mwenye sample ya talaka tafadhali

Ushauri wa bure, chukua bastola weka kidevuni kwako halafu jilipue kama mushi, maana ndoa ya kikristu haitenganishwi mpaka kifo, hahaha natania mie, usije ukajilipua kweli mtoa ushauri nikawa accesory befor the fact kwa murder
 
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo

dah! kaka kama kweli ndoa yako ndio hipo hivyo unanitisha sana nahisi maamuzi yangu ya kuoa yatachukua muda mrefu sana!!!!!
 
Zipo talaka pia nje ya mahakama,Tamko ama andishi analolitoa mume na zinakubalika kua ni talaka ndoa huvunjika.(kwa ndoa za waislam).

Sheria ya ndoa inatoa mamlaka kwa mahakama pekee ya kutoa talaka. Hivyo hata kama unamuacha mkeo kwa kutumia utaratibu wowote( sio lazma talaka kuandikwa kwa waislamu)..inabidi uanze mchakato wa kimahakama kupitia reconciliation board.

Kuna watu unakuta kidini wameachana lakini sheria bado inatambua kuwa ndoa bado ipo.
 
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo

Aisee pole sana sana.
Natumain nawe utakiri kwamba unamakosa.lakin kosa kubwa ni namna ulivyo mchagia mwenza wako!

Kupitia facts ulizotoa,ebu pitia kwa ustawi wa jamii au baraza za usuluishi la kanisani,washirikishe ndugu zake ipasavyo (ili wawe mashaidi wako pia).kama umeisha pitia hizo hatua..basi endelea na maamuzi yako.

Utashindwa kujiendelza kimaisha kwa sababu ya migogoro ya ndoa.je ukose mke na ustawi wa maisha yako pia?.kwa mtihani unaopitia sasa utakuja kuwa mwanandoa bora baadaye.
 

Duuuu basi hali ni mbaya sana.
 
Mkuu sasa mbona umechelewa hivyo ingekuwa mimi tayari nilisha maliza kama munis Tufanye hiv haina haja ya Talaka Ni pm nikuazime Mguu wa kuku mkuu.
 
Huyu ndiye ulikuwa unaombea na huyo bwana anayewasiliana naye? Kama ndivyo jua ulioa mpira wa kona na sasa unaendelea kugombaniwa!!!!! Wadau kamwe usisubutu kuoa au kuolewa na partner anayegombaniwa eti unajidai una win game!!! Utakuwa umejichimbia kaburi.
 
hao ndio wake wa fasta mkuu, kwa ayo uliyoeleza hapo chini huyo si mwanamke, ila ni mzigo, sasa umeoa ili iweje? au umuone sura yake kama yote ayo hafanyi, yani print haraka hiyo talaka mpe aende kabisa, anachezea bahati ya ndoa.
 
Mbona jehanamu ndogo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…