Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji.

Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na uhakika sababu ndo kazi ilionitoa shimoni mpaka hapa nilipo.

N vyema akawepo maeneo ya Arusha sababu itakuwa rahisi kumanage hyo issue na kupata mawili matatu sababu hata base ya Biashara inatakiwa Arusha.

Nataka mtu aje aweke mzigo baada ya kuridhika na hii biashara naye asubiri hesabu yake ikamilike, nahitaji mtu alie serious na pesa yake na awe tayari tupige kazi.

Aina ya bidhaa ni mafuta ya nywele, Dawa zake pia kuna lotion mafuta Mgando, sabuni za vyombo na sabuni za chooni pia kuna Bidhaa kutoka china na Egypt.

Hii issue n serious na inatoa pesa kwa wakati alie tayari na ningependa awe arusha ili tuongee in details vizuri.

0742500503 karibu.
 
Kaka pambana na hali yako. Acha kuwapeleka watu kwenye matatizo.
 
Kama kawaida yenu huwa hamkosekanagi Ila kiukweli nyie ndo huwa mnafanya dunia izunguke vinginevyo tungeungua na jua la sita mchana mpaka tukome.

Challenge accepted.
 
Bro kumbuka hufanyi biashara peke yako. Na pesa si rahisi sana hivyo.
 
Kuna watu kila kitu kwao huwa n negatively tuu hasa Hawa vijana wa Jf na ndugu zao humu.

Sio kila Jambo lazima ulisemee ukiona sio saiz yako achana nalo watu wanashindwa kuchanganua taarifa ili ziweze kuwanufaisha nawaomba mjifunze ya wakenya kule mtu akipata pesa haijalishi halali au kaiba lazima aangalie sehemu ya kuzalisha pesa yake jiulize kwann kenya Kuna Viwanda vingi na kwanini sio Tanzania?

Wenzetu hata wakiina wanaenda kuwekeza kwenye Biashara Yan anaangalia n kampuni gani ipo vizuri kibiashara anaenda kuingeza mtaji anabaki kuvuna tuu nyie mtajua mwenye kampuni/kiwanda n flan kumbe n mwanasiasa flan au n jamaa flan yupo nyuma ya pazia na maisha yanaenda.

Sasa sisi wabongo tukizipa wengi ukimbilia kwenye magari, ngono na kujenga kote huko hakuzalishi pesa Bali kunakaanga pesa, PESA N ZAKO UNA UHURU WA KUZITUMIA UTAKAVYO.

Hizi n baadhi ya karatasi nilizopita mzigo hv karibuni
IMG_20211124_184448_7.jpg
IMG_20211124_184334_7.jpg
IMG_20211124_184217_5.jpg
 
Bro kumbuka hufanyi biashara peke yako. Na pesa si rahisi sana hivyo.
Nalitambua Sana na hapa Nina kampuni Kama tano hv Bidhaa zake n chee na zinauzika vizuri tuu na watu bado hawajasanuka japo kila siku kuna zaidi ya wafanyabiashara 50 huvuka kwenda Kenya kununua Bidhaa na wengi hununua Bidhaa za aina moja
 
Nakushauri uingie bank, muhimu kampuni yako iwe smart kwenye mapato na matumizi
 
Back
Top Bottom