Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

Bank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Labda nyaraka haziko vizuri mkuu, ndani yamiezi hii minne kuna baadhi ya watu nimeshuhudia wakipata mikopo ndani ya wiki 2; kuna rafiki yangu naye alinufaika mpaka kujenga hotel, na atapata full umiliki baada ya kumaliza mkopo
 
Hongera na swali izo bidhaa ulizoweka katika mfumo wa picha ndo ulizoagiza aldeo
Hapo nimeficha taarifa za hyo karatasi hvyo vyote chimbo n china mkuu Afrika Nairobi na kariakoo.

Hyo n karatasi inayoorodhesha vitu vilivyoingia Tanzania na kulipiwa malipo sahihi na vinakuwa halali kwa nafasi yake mpaka utakapobadili hatua nyingine ya Biashara
 
Bank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Hili na mimi napitia yaani mchakato nimemaliza muda lakini mkopo mpaka sasa hola
 
Hili na mimi napitia yaani mchakato nimemaliza muda lakini mkopo mpaka sasa hola
Equation x

Ukweli n kuwa bank sasahv hesabu zao haziendi halafu wenye hela zao wanazitoa bank wanaingiza mtaan ndomana sikuhz wananyatia wastaafu na kuwalazimisha waweke fixed hata ya miaka 3
 
Bank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Ajabu hii. Unaanza kukatwa vp wakati haujakopeshwa?
 
Mkuu umeshindwa kusema wewe utaweka kiasi gani au unamtaji kiasi gani.....

pia umeshindwa sema return rate ya mil 40 ya mhusika ni ngapi [hata kwa makisio]

Pia biashara za nje ya nchi zinachangamoto, ungeeleza hata kwa ufupi, umejipangaje kuzisolve hizo changamoto na mhusika
 
Equation x

Ukweli n kuwa bank sasahv hesabu zao haziendi halafu wenye hela zao wanazitoa bank wanaingiza mtaan ndomana sikuhz wananyatia wastaafu na kuwalazimisha waweke fixed hata ya miaka 3
Changamoto hizo zipo, ila kwa ushauri jaribu kutembelea benki tofauti tofauti na uende kibiashara wanaweza kukupatia abc
 
Mkuu umeshindwa kusema wewe utaweka kiasi gani au unamtaji kiasi gani.....

pia umeshindwa sema return rate ya mil 40 ya mhusika ni ngapi [hata kwa makisio]

Pia biashara za nje ya nchi zinachangamoto, ungeeleza hata kwa ufupi, umejipangaje kuzisolve hizo changamoto na mhusika
Mkuu n Biashara nafanya nasio kwamba nataka mkopo hapana Ila Kama kuna mtu anapesa anafikiria aifanyie nn mimi namkaribisha aje tupige kazi pamoja.

Kuna ramani za kutosha na siwezi kuzifanya zote kwasasa Ila natamani kuzifanya zote kwa pamoja japo Kuna muda utafika nitafanya zote kwa pamoja.

Kitu kingine usisubiri kuambiwa ukiweka hk utapata kile no wewe ndo unasema naweka hk nataka kila baada ya muda flan nipate hiki.

Note: Siombi mkopo
 
Kitu kingine niwaambie MFANO HUU unaweza kuona Basi za shabiby zipo zaid ya 100 lakini huenda shabiby mwenyewe Gari zake n 50 tuu hzo zingine n wadau wanatia mzigo na wanasubiri return yake.

Ndio Biashara ya dunia ya Sasa japo kuwa na tin number n muhimu sana
 
Mkuu samahani Sana Nina shida na 20000 Kama unayo nisaidie unikopeshe nikutumie namba PM?samahani lakini kwa kutoka nje ya maada Nina shida imenikaba.
 
Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji.

Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na uhakika sababu ndo kazi ilionitoa shimoni mpaka hapa nilipo.

N vyema akawepo maeneo ya Arusha sababu itakuwa rahisi kumanage hyo issue na kupata mawili matatu sababu hata base ya Biashara inatakiwa Arusha.

Nataka mtu aje aweke mzigo baada ya kuridhika na hii biashara naye asubiri hesabu yake ikamilike, nahitaji mtu alie serious na pesa yake na awe tayari tupige kazi.

Aina ya bidhaa ni mafuta ya nywele, Dawa zake pia kuna lotion mafuta Mgando, sabuni za vyombo na sabuni za chooni pia kuna Bidhaa kutoka china na Egypt.

Hii issue n serious na inatoa pesa kwa wakati alie tayari na ningependa awe arusha ili tuongee in details vizuri.

0742500503 karibu.
Mchongo wa maana sana mkuu ubarikiwe
 
Mkuu samahani Sana Nina shida na 20000 Kama unayo nisaidie unikopeshe nikutumie namba PM?samahani lakini kwa kutoka nje ya maada Nina shida imenikaba.
Omba yako hii huwa wanakutumia kweli?
 
Back
Top Bottom